Kama huna mume kwa mila zetu unafanya nini duniani! huna mume una m.m.t.t.o.o.m.m.b.b.a.aj.j.i.i Bint mwenye mume wa ndoa hawezi kuandika kama ulivyoandika. Tulio kwenye ndoa huwa hatushabikii ujinga kama huo maana hujui kesho yako itaweza kuwaje!Kwani uliambiwa ni lazima kuwa na mme?By the way ninae mme wangu na hafanyi upuuzi kama wa Mbowe.
Unapiga mtu panga, unawekwa ndani wakati wenyewe wako huko wanaendelea na raha. Wewe huko ndani hutoki mpaka hela zikutoke na uliyemjeruhi umlipe au umbembeleze kesi isiende mahakaman ili usisimbuke na kesi ya mke ambaye tayari kakukimbia.Wewe uantuhumiwa kutembea na mke wa Fulani, unaitwa na huyo mwanamke eti ukamchukue mbele ya mume wake umrudishe kwao, na wewe kimbelembele una kwenda bila kujiuliza. Ukichezea panga ni halali yako.
Kuwa kwenye ndoa hakunizuii kuandika ninachokiamini,this is 21century bwana.Kama huna mume kwa mila zetu unafanya nini duniani! huna mume una m.m.t.t.o.o.m.m.b.b.a.aj.j.i.i Bint mwenye mume wa ndoa hawezi kuandika kama ulivyoandika. Tulio kwenye ndoa huwa hatushabikii ujinga kama huo maana hujui kesho yako itaweza kuwaje!
Ni udhaifu mkubwa kumpiga mtu anayekuibia mpenzi wako. Ukiona unaibiwa, mchawi ni mpenzi wako-sio anayekuibia.
Najifunza
Wewe kwa akili yako unadhani mke sio mpenzi?Uyo sio mpenz ni mke mkuu,jaribu kufocus!?
Ona watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukiangaika.......Kuwa kwenye ndoa hakunizuii kuandika ninachokiamini,this is 21century bwana.
Hahahaha pole for your Info nilivaa shélastique mwaka 2006 na mpaka leo mapenzi moto moto.Ona watoto wa nyuma yako wameolewa wamekuacha ukiangaika.......
Simaanishi Marato hana kosa, la hasha. Ila kama Marato umemuita dhaifu kwa kitendo chake basi naomba jina la dereva tax aliyejipeleka mwenyewe akijua ni mtuhumiwa mkuu.Unapiga mtu panga, unawekwa ndani wakati wenyewe wako huko wanaendelea na raha. Wewe huko ndani hutoki mpaka hela zikutoke na uliyemjeruhi umlipe au umbembeleze kesi isiende mahakaman ili usisimbuke na kesi ya mke ambaye tayari kakukimbia.
Ni lini watu weusi tutatambua kuwa mapenzi ni hiari? Mnadhani wazungu wanaopeana talaka kila siku na ndoa hazidumu miongo kama zetu ni wajinga?
Ukimshirikisha mungu wala hayo hutoyaona kwani MUNGU ni msaada na ndiye mfaliji na mshauri mkuu.Mapenzi ni hatari. Yanawapa shida mno binadamu