Genius only: Who is the killer?

Genius only: Who is the killer?

...muuaji ni no.1....Hana kisu mezani mwake...maana kisu chake kakitumia kuulia na kukiacha kwenye tukio....
 
...muuaji ni no.1....Hana kisu mezani mwake...maana kisu chake kakitumia kuulia na kukiacha kwenye tukio....
Kwa iyo kaua afa katulia kaja kunywa chai.... aah aaah we jamaa bhaana

Sent from "La -Vista"
 
Namba 4 ndiye muuaji. Meza zote zina visu vya kukatia chakula lakini meza yake haina kisu. Kisu chake amekiacha sehemu ya tukio
Na kingine nashauri tuwapime mkojo
 
...muuaji ni no.1....Hana kisu mezani mwake...maana kisu chake kakitumia kuulia na kukiacha kwenye tukio....

congratulation wewe ndio umepatia...... in the science of criminology lazima criminal atakua tofauti na innocent ones hasa baada ya kumaliza tukio, others wanakunywa chai wapo na vitu vyao yeye katulia kimya tena anatazama pengine huku akipanga mbinu za kupotea, meza zote zina visu kasoro yake na kisu kimoja kipo chooni...... ni rahisi sana kumdhania mwanamke kwakua ni choo cha kike, ila mlangono hakuna ukaguzi au ulinzi wowote wa kumzuia mtu wa jinsia tofauti asiingie.
 
Aliyeua ni namba 4 yeye meza yake haina kisu ameshakitumia huko chooni na kukisahau hicho choo ukiingia ndio unajua uelekee ke au me hiyo WC maana yake toilet nchini China.
 
muuaji ni namba tatu namba nne Sio muuaji na inaonyesha amefika tukio likiwa limeshafanyika namba tatu wakati akienda chooni alichukua kisu kwenye meza aliyokaa namba nne.
hivyo namba nne hakukikuta kisu mezani kwake.
namba tatu alichukua kisu kwenye meza aliyokaa namba nne kuepusha maswali ambayo huenda angeulizwa na mhudumu kuwa kisu kiko wapi
 
Back
Top Bottom