Genius only: Who is the killer?

Swizzy

JF-Expert Member
Nov 4, 2016
773
511
IMG-20170805-WA0000.jpg
 
3 ndio muuaji itakuwa alitumia hicho kibegi chake kubeba kisu na kwenda kuuwa

amerudi amesahau hata kufunga .....alafu inaonekana yupo kwenye shock

kutokana na kufunga mikono yake.

Alafu pia mwanaume hawezi kumuua mwanamke kwa kumchoma kisu

angepiga kabali mchezo kwisha.
mmm!! aiseh
 
Killer ni No 3 kwa sababu ( tatu kuu) na ndogo ndogo kadhaa
1. Ni mwanamke sababu kwa yeye ilikua rahisi kuingia choo cha kike na kutekeleza mauaji bila kuhisiwa, lakini pia aliyeuliwa ni mwanamke ndani ya choo cha kike
2. Mara nyingi mwanamke hawezi kuua bila silaha, kwa makomandoo wachache sana ndo wanaweza
3.........................Hizi ni kazi za kitaalamu kuongea hapa kuwafumbua macho wahalifu
 
Back
Top Bottom