dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,145
Umeona eeh mkuu kawaida katika kila meza ilitakiwa kuwe na uma na kisu. Ila ukiangalia meza ya no 4 utakuta ana uma hana kisu na 3 ana kisu hana uma kwahyo hapo kuna exchange ilifanyika aidha no 4 alimpa no3 uma alafu yeye akabakiwa na kisu.Hapo ni mchezo wa number 4 na 3 .Wameshirikiana pamoja ila aliyeingia kukamilisha mauaji ni 3
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia Ni kweli no3 ndo amekamilisha mauaji maana kuna viashiria vingi tu ukiangalia shati lake lilivyo inaonekana kulikuwa na purukushan kabla ya kutimiza mauaji na pia kisu chake ndo kilitumika kufanikisha tukio hilo.