Genius only: Who is the killer?

Genius only: Who is the killer?

Mkuu nimebadirisha reasoning

Muuaji ni namba 3 kwa kuwa mauaji yamefanyika choo cha kike

mtu pekee ambaye anaweza ingia choo hicho ni huyo tatu mwenye

kilemba
Umepiga chabo

Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
 
Simply, this is murder! Angalia bastora kashika mkono gani, Angalia damu ipo upande gani then imagine umemuinua na kurudi kukaa katika kiti ndipo utaona kuwa bastora yake na position ya damu tofauti!

Picha lina anza jamaa kakaa kweny hcho kiti huku akiwa anavuta sigara wakat huo huo bastola kaiweka pembeni...akaanza kuandika hyo barua zen baada ya kumalza kuandka akachukua bastola ilyokuwa pemben akaijpga risasi kwa kutumia mkono wake wa kulia....hiyo bastola aliiwekeza upande wa kulia wa kichwa chake ndo maana damu ili luka had ukutan kule....ule mshindo wa risas ukafanya marehemu aanguke chini kwa kutapatapa ndio maana vitu vme vurugika
 
Namba 3,kaua kabla hajahudumiwa,sahani yake iko empty,kaua kisha akakaa kupoteza ushahid

Philips X2560
 
No 4. Ndo muuaji,
1. Kwanza kisu kilichotumika kwa mauaji inaonekana ni vya hapo hapo hotelini na No 4 peke yake meza yake haina kisu.

Ukimuangalia kwa makini utaona ana mchubuko kwenye shingo yake chini ya sikio, atakua amelipata kutokana na purukushani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angeshtukiwa mapema anakwenda kufanya nini choo cha kike
mara nyingi vyoo huwa vinakuwa mbali kidogo na canteen pia mara nying milango ya vyoo huwa ina tenganishwa na kolido. Sizani kama kuonekana itakuwa rahisi kwa huyo mtu wa kiume
 
mkuu hapo kwenye mchubuko basi hata namba3 naye anamchubuko
 
kwa hiyo point yako ya kwanza nakupinga tena vikali. Kwani muuaji akidhamilia kukuua hawezi kuingia maliwato ya kike?

mfano mzuri ni kwa wale wauwaji wa Kibiti wakidhamilia kukuua wakaja kwako/hotelini/guest afu wewe ukakimbilia kwenye choo cha wanawake watakuacha kweli? eti kisa wao ni wanaume hawaruhusiwi kuingia choo/waliwato ya kike?
Mkuu vipi kuhusu point no. 2? wewe mawazo yako ni yapi kuhusu muuaji kwenye picha hiyo?
 
Mkuu nimebadirisha reasoning

Muuaji ni namba 3 kwa kuwa mauaji yamefanyika choo cha kike

mtu pekee ambaye anaweza ingia choo hicho ni huyo tatu mwenye

kilemba

Kwahiyo mauaji yakifanyika kanisani ni lazima muuaji awe mkristo?
 
Back
Top Bottom