Genius only: Who is the killer?

Genius only: Who is the killer?

muaji ni namba 4 kwA sababu kisu chake mezan hakipo kulinganishwa na waliokaa kwnye meza nyingine na pia namba 4 yupo karibu sana na women washroom its just a matter of steps kuingia chooni na mwisho kabisa kavaa nguo nyekundu hili kuficha damu endapo aKifanikisha kuua kwA sabanu atatumia mikono yake na lazima damu zingelimpata ....It wAs a strategy to wear a ted shirt.

Na naweza sema it is not common for men to stay behind or straight to a women washroom accordingly kulingana na jinsi migahawa mingi ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
na 4 hawezi kuwa muuaji sababu hamna kiti kingine katika meza yake
 
Muuaji ni namba 3 kwa sababu hana kinywaji/chakula chochote mezani...Na muhudumu ndo anamfuata kumuhudumia,it means alifika kwanza then akaenda toilet kufanya mauaji then akarudi kuketi.

Naipenda JF
 
3 ndie killer kwasababu
Pochi yake ipo wazi it seems like alitoka na kitu kwente pochi yake akaenda kuua then akarudi akazuga kama anakunywa chai pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
na 4 hawezi kuwa muuaji sababu hamna kiti kingine katika meza yake
Nakupa tena ushahidi wA mwisho

@ angalia sharti lake lilivyotokeza nje (hajachomekea kwA ufasaha zaidi)

b) Angalia sura yake .. Totally guilty macho yanSema kila kitu

c) mwangalie mhudumu kamtaZama nAni ?? ( anashAngazwa nA mwAnaume kutoka sehemu y WanAwake)

d) Mhudumu anamletea nan chakula namba 4 au 3 ?? ni kiwa na maana nan kakaa muda mrefu pale canteen

e) huyo mwanamke alikaa kiti gan ( aliyeuwawa) ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaonekana makachero mumeshindwa kumjua muuaji,kamata wote tia ndani watasaidia uchunguzi madam hawa ndo wamekutwa eneo la tukio,wapimwe mkojo haraka
ha ha haaa!!! majibu yamekuwa mengi sanaa
 
03
Huyo mama kwa sababu yy pekee ndio anaweza ingia choo cha kike.. Kwa uhalisia ni kwamba atayeua na pekee atakayeingia choo cha kike na kwa namna yoyote hakuna mwanamke akaingia choo cha kike..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba 3 ndio muuaji.

Mauaji yamefanyika choo cha kike

huyo aliyevaa mtanduo namba 3 ndio mtu

pekee mwenye uwezo wa ku access kuingia

choo cha kike.
SIYO KWELI; Muuaji ni namba 04. angalia mtu aliyekufa ameuawa kwa kisu, number 04 hana kisu mezani wakati wengine wana visu vyao, kwa hiyo in the first place huyu ndiye prime suspect. (in my views)
 
Namba 3 ndio muuaji.

Mauaji yamefanyika choo cha kike

huyo aliyevaa mtanduo namba 3 ndio mtu

pekee mwenye uwezo wa ku access kuingia

choo cha kike.
Umetoa sababu za kitoto kabisa.... hata mwanaume anaweza akafanya mauji kwenye hicho choo cha kike ili ionekane si yeye ili kukwepa mkono wa serikali
Sijui una maanasha nini unaposema huyo mwanamke ni mtu pekee mwenye access ya kuingia hicho choo wakati huna uhakika ni vipi huwa wanaingia huko...sidhani kama ni sawa kutumia neno access kwenye hili tukio...

Mfano to me number one is the killer maana hata murder weapon kasahau kweye eneo latukio maana ukiangalia ni yeye hana kisu cha kulia(kam ni chenyewe ndicho kinacho onekana kwenye scene)
Pia kwenye picha ya mauji kuna mkanganyiko wa aina ya kisu kilicho tumika maana mimi naona vina fanana na vinavyo tumika hapo hotelini yani visu vya kulia...
Na kama ni kisu cha kulia basi ni namba moja...
 
SIYO KWELI; Muuaji ni namba 04. angalia mtu aliyekufa ameuawa kwa kisu, number 04 hana kisu mezani wakati wengine wana visu vyao, kwa hiyo in the first place huyu ndiye prime suspect. (in my views)
Hahahahahaha..mbona namba nne anacho kisu na ndicho ana kitumia?
 
Tulia usijichanganye huyo aliyevaa mtandio aweza kuwa mwanaume pia

hakuna sehemu nimetaja mwanamke!

siku nyingine usikurupuke mimi nimetoa reasoning zangu mwenye access ya

hiyo washroom ya kike ni huyo aliyevaa mtandio/hijab

mwanaume aliyevaa ngua za kiume ni rahisi kushtukiwa

Alafu usiite sababu zangu ni za kitoto pumbav ww.
 
SIYO KWELI; Muuaji ni namba 04. angalia mtu aliyekufa ameuawa kwa kisu, number 04 hana kisu mezani wakati wengine wana visu vyao, kwa hiyo in the first place huyu ndiye prime suspect. (in my views)
I buy your reasoning

though nitasimama na maoni yangu.

lkn pia kwa kuongezea huyo namba 3 ana kibegi

huenda alipitia kisu hapo namba nne kaweka kwenye bag

kaenda kufanya mauaji kamuachia msala no 4
 
Simply, this is murder! Angalia bastora kashika mkono gani, Angalia damu ipo upande gani then imagine umemuinua na kurudi kukaa katika kiti ndipo utaona kuwa bastora yake na position ya damu tofauti!
Angle ya tundu la risasi ina matter sana
 
Muuaji ni huyo muhudumu jamaa ndo zake hapo ana zuga tu

Sent from myself
 
Back
Top Bottom