Genius only: Who is the killer?

Genius only: Who is the killer?

Nyingine hiyo

murder-or-suicide.jpg
 
No.3 ndio anahusika na mauaji hayo kwasababu zifuatazo;
1- mauaji yamefanyika kwenye choo cha wanawake na yeye ndio pekee mwenye ruhusa ya kuingia huko.
2- mkoba wake uko wazi na inaonekana kuna kitu ametoa na akasahau kuufunga, ukizingatia kuwa mauaji yamefanyika kwa kutumia kitu chenye ncha kali(labda ni kisu )

no 3 akapimwe mkojo..
 
mkojo......
 
kwa hiyo point yako ya kwanza nakupinga tena vikali. Kwani muuaji akidhamilia kukuua hawezi kuingia maliwato ya kike?

mfano mzuri ni kwa wale wauwaji wa Kibiti wakidhamilia kukuua wakaja kwako/hotelini/guest afu wewe ukakimbilia kwenye choo cha wanawake watakuacha kweli? eti kisa wao ni wanaume hawaruhusiwi kuingia choo/waliwato ya kike?
 
Back
Top Bottom