Genius only: Who is the killer?

Genius only: Who is the killer?

Napendaga sana vitu kama hivi....lete ingine mkuu...
 
...kisu chake anacho mkononi...anakitumia....have a good look..tafuta asiye na kisu kabisa....jibu utalipata....
Namba 4 ndiye muuaji. Meza zote zina visu vya kukatia chakula lakini meza yake haina kisu. Kisu chake amekiacha sehemu ya tukio
Na kingine nashauri tuwapime mkojo
 
4 cuz hata kisu chake amekiacha kule kule chooni, na hata nguo yake pia alichagua ni nyekundu ili isionyeshe alama za damu
ha ha ha!!! umeniacha hoi hapo kwenye nguo nyekundu
 
Namba 1
Sababu
  • Marehemu kapigwa kisu, namba moja hana kisu mezani kwake, kisu kipo kando ya mwili wa marehemu
  • Amevaa mavazi ya rangi ambayo kila mtu atadhani ni mzalendo si rahisi kumshuku (in our context)
 
Namba 3 hana anachokula,sahani empty

May Allah bless Me and You
 
Namba 2 because has a knife on his table..!
 
Huyo No. 3 kuna kitu alikuwa anaficha chini ya sahani? Maana naona vidole vyake havionekani vizuri. Pengine hicho kitu kilikuwa kimetolewa kwenye pochi ya No. 3 na kabla ya kurudishwa waiter akawa ametokea hivyo ikabidi kifichwe kwanza chini ya sahani. Na kuthibitisha hilo hivyo vimistari mistari vinavyoonekana juu ya sahani vinaashiria kuwepo kwa kitu kinachoendelea kuhusiana na sahani hiyo.

Pia inaonekana huyo mama aliyeuawa kabla ya kwenda WC alikuwa kakaa meza moja na mwanamke mwenzie yaani No. 3. Kwa vyovyote vile No. 4 na No. 3 ni wahusika wa tukio japo aliyetekeleza mauaji kule WC atakuwa ni mwanaume (No. 4) ambaye hata kwenye kuchagua meza ya kukaa alichagua meza ya kuweza kukaa pekee yake (ina kiti kimoja tu) wakati meza zingine zote zina viti zaidi ya kimoja.
 
Inaonekana makachero mumeshindwa kumjua muuaji,kamata wote tia ndani watasaidia uchunguzi madam hawa ndo wamekutwa eneo la tukio,wapimwe mkojo haraka
 
muaji ni namba 4 kwA sababu kisu chake mezan hakipo kulinganishwa na waliokaa kwnye meza nyingine na pia namba 4 yupo karibu sana na women washroom its just a matter of steps kuingia chooni na mwisho kabisa kavaa nguo nyekundu hili kuficha damu endapo aKifanikisha kuua kwA sabanu atatumia mikono yake na lazima damu zingelimpata ....It wAs a strategy to wear a ted shirt.

Na naweza sema it is not common for men to stay behind or straight to a women washroom accordingly kulingana na jinsi migahawa mingi ilivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom