- Thread starter
- #21
Mahakama gani tena, wakati kila siku unamuona anapelekwa.Mpelekeni mahakamani
anapaswa aheshimu taratibu za kisheria, sio anavyo taka yeye na mawakili wake.
Hata Pdidi yupo gerezani anasote karibia mwaka sasa huko Marekani.
Mahakama huwa haipelekeshwi.