Kuna mtu kakushauri ukamuulize mzee alafu uje kushare na sisi insider information, katika mtu ambaye anaweza akawa na access ya information za kisiasa na kiintelijensia za kwa nini ilifanyika hivyo ni wewe humu jamvini ni wewe.- Cha muhimu ni kuelimishana mkuu the authorty wa Vita vya Nigeria na kwa nini tuliounga mkono maaasi, vipi ukiweka darasa hapa!!
William.
- Kila ninapoangalia tulikotokea hili Taifa, ninapatwa wasi wasi sana kwamba hatukufika hapa tulipo kwa makosa, tumefanya makosa mengi sana nyuma in terms of policies mpaka leo hii kurekebisha inakuwa ni almost impossible, ingawa watawala wa sasa wanajitahidi sana.
- Eti ni kwa nini Tanzania tuliunga mkono Waasi wa Nigeria waliokuwa wanaongozwa na General Ojukwu, kwenye kiu yao ya kujitenga na Nigeria Federation? Ninakumbuka tukiwa wadogo Shuleni, tulivyokuwa tunaimbishwa nyimbo za kumsifu Ojukwu, why? I mean ni policies ngapi huko nyuma we were wrong maana inaonekana ni nyingi sana that ni vigumu sana sasa kurekebisha njia!
- JE have we ever apologize to the Nigerians kwa makosa yetu ya kuuunga mkono uasi wa Ojukwu, dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo?
- MUNGU AIBARIKI TANZANIA!
William J. Malecela.
Secondary Education - Minaki secondary school 1957-1958
Bachelor of Commerce - Bombay University 1958-1959
Post Graduate Studies - Cambridge University 1961-1962
Hi sentensi ni pana sana mkuu na nivigumu kuithibitisha...- Be my guest, anytime mkuu!, otherwise hoja yangu ya msingi ni huko tumefanya madudu mengi sana ndio maana mpaka leo yanatutafuna!, lakini hatutaki kuyaongelea kujua namna ya kujirekebisha!!
William.
Mwalimu hakukurupuka tu na kusema anam-support Ojukwu. Alieleza articulately kwa nini amefikia uamuzi huo. Huyu Willy alitakiwa kutueleza kwa nini hakubaliani na sababu alizotoa Nyerere kuunga mkono uasi ule, badala yake anakuja na kusema it was wrong, how? Hii ni aibu kuletwa na mtoto wa Malecela na mtu aliyetaka kutuwakilisha bunge la EA.Kuna mtu kakushauri ukamuulize mzee alafu uje kushare na sisi insider information, katika mtu ambaye anaweza akawa na access ya information za kisiasa na kiintelijensia za kwa nini ilifanyika hivyo ni wewe humu jamvini ni wewe.
Mkuu unaishi dunia gani? Bado una hofu na kitu/watu wanaoitwa usalama wa taifa? Tafadhali mkuu... zilikuwa enzi zilee... mtu ''akisemwa'' yupo usalama wa taifa kila mtu anamwogopa. Sio sasa. Watu siku hizi tumeelimika. Tunajua ni binadamu wa kawaida kama sisi.Kuna tetesi kuwa Wiliam ni informer wa TISS na amekuwa foreign asset department kwa kipindi na sasa karudi home kuendelea na kazi yake, Kupiga porojo sisi tunaona kama hazina maana hizi ni kazi za kawaida za TISS kuweka watu attention na mada nyepesi nyepesi badala ya kufikria mambo ya maana ya kukomboa nchi.KWA HIYO MEMBERS AND GREAT THINKERS TAKE CARE.THE MAN IS AT WORK.
William hakutafiti ni kwa nini Nyerere (RIP) aliwaunga mkono. Yeye kakurupuka vuuuruuu kama jiwe linavyofyatuka kwenye manati na kuanzisha thread, akiongozwa na chuki yake kwa Mwalimu kwa kumkwamisha mzee wake kwenye ndoto zake za ''urahisi''. Inashangaza ni juzi juzi alikuwa anamsifu Jonas Savimbi na kumwita ''hero'' wakati na yeye alikuwa anataka ''kuondoa serikali halali madarakani'' kulingana na shutuma zake.Mwalimu hakukurupuka tu na kusema anam-support Ojukwu. Alieleza articulately kwa nini amefikia uamuzi huo. Huyu Willy alitakiwa kutueleza kwa nini hakubaliani na sababu alizotoa Nyerere kuunga mkono uasi ule, badala yake anakuja na kusema it was wrong, how? Hii ni aibu kuletwa na mtoto wa Malecela na mtu aliyetaka kutuwakilisha bunge la EA.
ritz nashukuru sana leo kwa kuamuwa kunipa darasa, nami kwa sababu nia yangu ni kujifunza natumaini nitajifunza mengi kutoka kwako.
Umesema Isarel siyo Taifa la kikristo na Wakristo ni wachache mno sasa hapa najawa na maswali zaidi je ni kwa nini Chuki za wachukia Israel huwa zinafungamanishwa na Wakristo?
Ningependa kujuwa kumbe Palestina ina Wakristo na wanamgambo kama Hizbollah yana Wakristu wengi tu je ni kwa nini Waislamu wao ndio mashabiki wa makundi haya ya Wanamgambo?
Kwa ufahamu wangu mdogo Syria ina Waislamu wengi sana na wanauwawa kwa dozens na Majeshi ya Rais ambaye ni mwislamu, ila natatizo mpaka leo sijaona makundi kama Bakwata, shura ya Maimamu, Uamsho kufanya maandamano makubwa kupinga mauwaji ya waislamu hawa ma Syria?
Ni nini kimejificha nyuma ya Uislamu? Je unaweza kunitajia hasa Crusaders ni kina nani hasa?