Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 11,747
- 14,649
Hahahaaaaa! Vibuyu tena? Si mkwara huo?Na leo nimepita hapo naona wachainaa washaweka geti la bati na vibuyu vyao viwili vinaninginia langoni
Hahahaaaaa! Vibuyu tena? Si mkwara huo?Na leo nimepita hapo naona wachainaa washaweka geti la bati na vibuyu vyao viwili vinaninginia langoni
Kuna clip mtandaoni Lema nimemsikia akisema kama kiwanda kimekufa kwa nini yard ya general Tyre isiuzwe ili pesa itakayopatikana itumike kufufua kiwanda na kijengwe pembeni mwa mji.Wala Bungeni hawajauliza
Vyombo vya habari kimya~ waoga
Sasa ulitegemea kama ni kiwanda kinafufuliwa kitafufuliwa na hiyo technology ya 70s?Kambi ya wajenzi? Wanaojenga nini? Na baada ya hapo ninni kitaendelea pale? Au wanafanya kama walivyofanya pale kwenye soko la kilombero walipopauza juu kwa juu baada ya kuwadanganya wafanyabiashara wapishe stendi ya muda?
Mkuu haujawahi kumkaribisha demu sitting room ukaenda kununua soda kurudi ameshakuwa mwenyeji na yuko chumbani kwako, kitandani kajilaza?Sasa wachina wamepenya vipi na wamepewa na nani?
Yah nakumbuka kipindi Magu anajinadi kufufua kile kiwanda kuna waziri mmoja alitoa kauli kuwa kiwanda kile hakitafufuliwa tena kwa kuwa kina teknolojia ya kizamani sana na ni nafuu kujenga kiwanda kipya kuliko kufufua kile!! Nilimwelewa kwa kiasi flani!Sasa ulitegemea kama ni kiwanda kinafufuliwa kitafufuliwa na hiyo technology ya 70s?
Nafikiri nimetoa dokezo kwamba Mengi na uhusika wa General Tyres, inatosha
Hahaaa, sawa mkuu.Mkuu eneo lile ni la kiwanda cha general tyre! Na ndiyo maana hata fence yao ina alama za matairi,nna pale mwisho karibu na BP ndipo lilipokuwepo jalala la kiwanda!nimekuwepo mitaa hiyo tangu utoto! Nimeokota sana mipira ya Manati pale!! Kuna kipindi Lowassa akiwa ccm aliwahi kuja pale na convoy lake,basi watu wakamshtua Lema kuwa kuna mafisadi wapo wanapanga yao,basi Lema akatia timu hapo na kuvuruga mipango na wazeiya wakaondoka kwa hasira huku wakiapa kumnyoosha Mh Lema!tokea hapo pakawa kimya! Sasa hivi nchi iko chini ya mtu mmoja! The ultimatum!! Hakuna wa kuhoji wala kupinga!! Tusubiri tu tuone kinachofanyika pale, kama pameuzwa pia tumshukuru mzeebaba magu! Maana sifa zote ni zake,mmoja tu aliye mkamilifu! Na wote tuseme Amen!
Ivi kuna nini pale sasa hivi,Kambi ya wajenzi? Wanaojenga nini? Na baada ya hapo ninni kitaendelea pale? Au wanafanya kama walivyofanya pale kwenye soko la kilombero walipopauza juu kwa juu baada ya kuwadanganya wafanyabiashara wapishe stendi ya muda?
Kuna ujenzi wa mabanda unaendelea pale! Pia kuna WACHINA! Jiongeze!
Serikali wanakifufua mkuuGeneral Tyre imefufuka?
Serikali imefufua kiwanda cha General tyre au kimeuzwa?
Maana kuna shughuli mingi zinaendelea pale...?
Na majengo hayo wanayojenga sasa wachina ni nini?Mengi ndio mmiliki kwa sasa, ana ubia na wachina
Nakumbuka Magufuli wakati anaingia madarakani hicho kiwanda ni kati ya viwanda vichache vya kwanza kutangaza kufufua...
Kwa hiyo pale anajenga shule au nini?mbona hapaeleweki?
Nani alikuambia hiyo uongo, yana tyre ilinunua kiwanda cha firestone kenya ambaye mmilikiki ni bridgestone ya marekani,na general tyre mmiliki ni continental tyre ya marekani.Yana Tyre Kipo Kenya, Former General Tyre
Hamna njia ya kufufua hicho kiwanda kimepitwa na wakati,hapo ni jengo tu,technolojia imebadilika sana hicho kiwanda inatengeneza matairi yenye kutumia Tube hivyo kiwanda lazima ubadilishe vitu vyote uanze kutengeneza tubeless tyres,nilifika hapo kuna kipindi kikifanya kazi na walikuwa bidhaa kubwa ni tube pekee mwishowe hata hizo zikawa hazinunuliki, huo ndiyo ukweli, viwanda vingi vya zamani vimepitwa na wakati hata za nguo.Mkuu eneo lile ni la kiwanda cha general tyre! Na ndiyo maana hata fence yao ina alama za matairi,nna pale mwisho karibu na BP ndipo lilipokuwepo jalala la kiwanda!nimekuwepo mitaa hiyo tangu utoto! Nimeokota sana mipira ya Manati pale!! Kuna kipindi Lowassa akiwa ccm aliwahi kuja pale na convoy lake,basi watu wakamshtua Lema kuwa kuna mafisadi wapo wanapanga yao,basi Lema akatia timu hapo na kuvuruga mipango na wazeiya wakaondoka kwa hasira huku wakiapa kumnyoosha Mh Lema!tokea hapo pakawa kimya! Sasa hivi nchi iko chini ya mtu mmoja! The ultimatum!! Hakuna wa kuhoji wala kupinga!! Tusubiri tu tuone kinachofanyika pale, kama pameuzwa pia tumshukuru mzeebaba magu! Maana sifa zote ni zake,mmoja tu aliye mkamilifu! Na wote tuseme Amen!
Na yana pendeza sana.Nazani kuna Madarasa yanajengwa ya Secondary za Kata, niliwahi sikia kitu kama hicho
Yeah! Naelewa hilo,hata zile mbwembwe za wanasiasa za ooh mkinichagua nafungua general upya zilikuwa ni za uongo tu sanasana kile kilikuwa kinaliwa timing tu kipigwe bei watu wagawane mpunga!Hamna njia ya kufufua hicho kiwanda kimepitwa na wakati,hapo ni jengo tu,technolojia imebadilika sana hicho kiwanda inatengeneza matairi yenye kutumia Tube hivyo kiwanda lazima ubadilishe vitu vyote uanze kutengeneza tubeless tyres,nilifika hapo kuna kipindi kikifanya kazi na walikuwa bidhaa kubwa ni tube pekee mwishowe hata hizo zikawa hazinunuliki, huo ndiyo ukweli, viwanda vingi vya zamani vimepitwa na wakati hata za nguo.
Zile ni ofisi za idara ya maji nimeambiwa! Ila kwa sasa wachina wanaochimba mitaro ndiyo wanaozijenga na kuzitumia,ila watakapomaliza kazi zao wataziacha hizo nyumba chini ya Auwsa!Na yana pendeza sana.
Ila vyumba kama servant quarters.
Hivi Continental walikuwa wamiliki au wabia?Nani alikuambia hiyo uongo, yana tyre ilinunua kiwanda cha firestone kenya ambaye mmilikiki ni bridgestone ya marekani,na general tyre mmiliki ni continental tyre ya marekani.