General Tyre imeuzwa Kinyemela?

Kambi ya wajenzi? Wanaojenga nini? Na baada ya hapo ninni kitaendelea pale? Au wanafanya kama walivyofanya pale kwenye soko la kilombero walipopauza juu kwa juu baada ya kuwadanganya wafanyabiashara wapishe stendi ya muda?
Sasa ulitegemea kama ni kiwanda kinafufuliwa kitafufuliwa na hiyo technology ya 70s?
Nafikiri nimetoa dokezo kwamba Mengi na uhusika wa General Tyres, inatosha
 
Yah nakumbuka kipindi Magu anajinadi kufufua kile kiwanda kuna waziri mmoja alitoa kauli kuwa kiwanda kile hakitafufuliwa tena kwa kuwa kina teknolojia ya kizamani sana na ni nafuu kujenga kiwanda kipya kuliko kufufua kile!! Nilimwelewa kwa kiasi flani!
 
Mkuu eneo lile ni la kiwanda cha general tyre! Na ndiyo maana hata fence yao ina alama za matairi,nna pale mwisho karibu na BP ndipo lilipokuwepo jalala la kiwanda!nimekuwepo mitaa hiyo tangu utoto! Nimeokota sana mipira ya Manati pale!! Kuna kipindi Lowassa akiwa ccm aliwahi kuja pale na convoy lake,basi watu wakamshtua Lema kuwa kuna mafisadi wapo wanapanga yao,basi Lema akatia timu hapo na kuvuruga mipango na wazeiya wakaondoka kwa hasira huku wakiapa kumnyoosha Mh Lema!tokea hapo pakawa kimya! Sasa hivi nchi iko chini ya mtu mmoja! The ultimatum!! Hakuna wa kuhoji wala kupinga!! Tusubiri tu tuone kinachofanyika pale, kama pameuzwa pia tumshukuru mzeebaba magu! Maana sifa zote ni zake,mmoja tu aliye mkamilifu! Na wote tuseme Amen!
Hahaaa, sawa mkuu.
Ila kuna siku mtu mmoja mzito alifika pale, ndo nkajua panafufuliwa.
Ameen!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kambi ya wajenzi? Wanaojenga nini? Na baada ya hapo ninni kitaendelea pale? Au wanafanya kama walivyofanya pale kwenye soko la kilombero walipopauza juu kwa juu baada ya kuwadanganya wafanyabiashara wapishe stendi ya muda?
Ivi kuna nini pale sasa hivi,
Sijaenda mitaa ya hapo kama mwaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka Magufuli wakati anaingia madarakani hicho kiwanda ni kati ya viwanda vichache vya kwanza kutangaza kufufua...

Kwenye upande wa viwanda Magufuli ni kama ameshindwa au hakujua vizuri uzito wa jambo hilo. Kwa ujumla amebaki zaidi kuwa kama alivyokuwa waziri wa miundombinu. Magufuli hafanyi vizuri kwenye uchumi, biashara, kilimo wala demokrasia. Na kwenye miundombinu mbinu ambapo amewekeza nguvu na akili yake yote kwa sasa anajiingiza kwenye mikopo mizito ambayo sio lazima ilipike kisa ana nia njema.
 
Mkuu eneo lile ni la kiwanda cha general tyre! Na ndiyo maana hata fence yao ina alama za matairi,nna pale mwisho karibu na BP ndipo lilipokuwepo jalala la kiwanda!nimekuwepo mitaa hiyo tangu utoto! Nimeokota sana mipira ya Manati pale!! Kuna kipindi Lowassa akiwa ccm aliwahi kuja pale na convoy lake,basi watu wakamshtua Lema kuwa kuna mafisadi wapo wanapanga yao,basi Lema akatia timu hapo na kuvuruga mipango na wazeiya wakaondoka kwa hasira huku wakiapa kumnyoosha Mh Lema!tokea hapo pakawa kimya! Sasa hivi nchi iko chini ya mtu mmoja! The ultimatum!! Hakuna wa kuhoji wala kupinga!! Tusubiri tu tuone kinachofanyika pale, kama pameuzwa pia tumshukuru mzeebaba magu! Maana sifa zote ni zake,mmoja tu aliye mkamilifu! Na wote tuseme Amen!
Hamna njia ya kufufua hicho kiwanda kimepitwa na wakati,hapo ni jengo tu,technolojia imebadilika sana hicho kiwanda inatengeneza matairi yenye kutumia Tube hivyo kiwanda lazima ubadilishe vitu vyote uanze kutengeneza tubeless tyres,nilifika hapo kuna kipindi kikifanya kazi na walikuwa bidhaa kubwa ni tube pekee mwishowe hata hizo zikawa hazinunuliki, huo ndiyo ukweli, viwanda vingi vya zamani vimepitwa na wakati hata za nguo.
 
Yeah! Naelewa hilo,hata zile mbwembwe za wanasiasa za ooh mkinichagua nafungua general upya zilikuwa ni za uongo tu sanasana kile kilikuwa kinaliwa timing tu kipigwe bei watu wagawane mpunga!
 
Na yana pendeza sana.
Ila vyumba kama servant quarters.
Zile ni ofisi za idara ya maji nimeambiwa! Ila kwa sasa wachina wanaochimba mitaro ndiyo wanaozijenga na kuzitumia,ila watakapomaliza kazi zao wataziacha hizo nyumba chini ya Auwsa!
 
Nani alikuambia hiyo uongo, yana tyre ilinunua kiwanda cha firestone kenya ambaye mmilikiki ni bridgestone ya marekani,na general tyre mmiliki ni continental tyre ya marekani.
Hivi Continental walikuwa wamiliki au wabia?
 
Back
Top Bottom