Simply beyond your comprehension.
JokaKuu
Heshima yako mkuu,kwanza asante kwa uchambuzi hapo juu
......nilikua katika research fulan ya maswala ya ulinzi Afrika nikakutana na andiko linazungumzia "complexity'' ya hierachy ya TPDF
Naomba kujua nafasi ya TPF (Polis) kwenye JW na je IGP ni sawa na COS?
Mkuu sina shida na bandiko lako lote lakini nashauri hiyo "mzuri" uitoe maana tafsiri yake yeye ni mtakatifu?.....huyu ndiye ndomba ninayemfahamu ambaye ni mkatoliki mzuri
hii nilishaisikia wakati ule wana Re-brand vyeo vya jeshi la polisi,ikaonekana upande wa TPDF hawakupendezewa na aina ya kujifananisha Polisi na JWTZ hasa kuhusu vyeo kwani vilikuwa vinashabihiana na vya JWTZ!na hivyo ilikuwa inaleta shida kiitifaki kwani kipindi cha nyuma IGP walimfananisha na Kanali ndani JWTZ!
Jk ni kanali tu, hajatufikia mabrigedia na majenerali. Makanali huwa hawapandi cheo baada ya kufanya mapinduzi? Umemsahau kanali maarufu Gadafi? Hakuwahi kupanda cheo tena kama gadafi wetu
Ni rafiki mkubwa wa JK sababu ya utendaji wake na msimamo wake!!alishapendekezwa hapo nyuma kumrithi Dr Hosea pale Takukuru!iliposhindikana akapewa utumishi jeshini,baadae akaenda JKT,,,ni mchapakazi sana na hodari!Hongera JK kwa hilo!
FJM,
..kutokana na ukubwa wa jeshi letu ndiyo maana inalazimisha Chief of Staff kuwa na cheo cha Lt.Gen.
..enzi za Sarakikya mkuu wa majeshi alikuwa na cheo cha Brigedia na mkuu wa utawala alikuwa ni major.
..kwa uelewa wangu askari akifikia nafasi ya major general basi anaweza kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi, au mkuu wa utawala jeshini.
..ni uamuzi wa Raisi na Amiri Jeshi Mkuu kuamua ni yupi kati ya major generals anafaa kushika wadhifa wa mkuu wa majeshi, au mkuu wa utawala jeshini.
NB:
..kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu retirement ya Lt.Gen.Shimbo na uteuzi wa Lt.Gen.Ndomba.
..Shimbo ame-retire baada ya kufikisha miaka 60, Ndomba naye ameteuliwa akiwa na miaka 58.
..je,Lt.Gen.Ndomba atatumikia kwa miaka 2 tu halafu astaafu?
..pia kuna utamaduni/mazoea kuwa mkuu wa majeshi huondoka madarakani na mkuu wa utawala waliyetumikia pamoja. the only exception ninayoikumbuka ni Waitara kuondoka, na Mwamunyange[mkuu wa utawala] kuwa promoted kuwa mkuu wa majeshi.
..je, ina maana Gen.Mwamunyange ataondoka na Lt.Gen.Ndomba? When is Mwamunyange retiring, he is only 53? Je, Lt.Gen.Ndomba atapewa mkataba kuendelea na kazi hata baada ya kufikia umri wa kustaafu in 2 yrs??
Umeamua kuwa mwana diplomasia, lol!
mh Afande Ndomba mimi nilifukuzwa kwa uonevu jeshini na afande anaitwa luteni BAZICHA alikuwa pale STONE QUARRY KUNDUCHI,mkuu embu naomba ufatilie haki yangu naamini wewe mpenda haki na mcha mungu,namba yangu ni 0767295474
mh Afande Ndomba mimi nilifukuzwa kwa uonevu jeshini na afande anaitwa luteni BAZICHA alikuwa pale STONE QUARRY KUNDUCHI,mkuu embu naomba ufatilie haki yangu naamini wewe mpenda haki na mcha mungu,namba yangu ni 0767295474
inakuwaje mtu atoke JKT to JWTZ? inabidi mtumie akili sana mwamnyange JKT ina maana JWTZ hakuna wenye vigezo kamili ya kiuchanguliwa? hili ni pandikizi ndani ya nchi yetu
Rais amempandisha cheo Sawel Ndomba kutoka Meja Jenerali na kuwa Luteni Jenerali na kumteua kuwa Chief of Staff. Huyu Ndomba miaka pungufu ya kumi iliyopita alikuwa ana cheo cha Luteni Kanali na alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara. Baadae akapandishwa na kuwa Kanali na kupelekwa Arusha kuwa Mkuu wa Mkoa. Alitoka Arusha akaletwa jeshini ambako alikuwa mkuu wa utumishi baada ya kupandishwa kuwa Brigadier General. Mara baada ya muda mfupi akapandishwa akawa Meja Jenerali na Mkuu wa JKT. Na sasa ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi. Labda Mwamnyange akistaafu atapandishwa na kuwa full general na CDF.
This is dramatic rise through army ranks. Huyu Ndomba kweli alihudhuria kozi zote za jeshi?
Mfano Luteni Kanali anakuwa amehudhuria kozi ya Commander's Course. Lakini baada ya hapo lazima uende War College... Je alienda?
mmeshaanza maneno yenu, angekuwa mwislamu mngesema udini sasa Ndomba ni mkatoliki mwenzenu hamna cha kusema mnaanza kupepesa macho!
Kwa hiyo unaafiki kuwa tatizo ni mteuzi?
Huyu hakuwahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha kama siyo Mkuu wa Wilaya? Kazi za hivyo vyeo vya wakuu wa mkoa au wilaya si ziko kwenye katiba ya CCM?
Of course kuwa Lt General inakupa sifa za kuwa kiongozi wa juu wa Jeshi. Bt this fast promotion leaves so many questions. In the army where seniority matters the existing lt generals were supposed to take the position! Huyu kurushwa fasta ni merely on political reasons! With 58 yrs? ****.!
mmeshaanza maneno yenu, angekuwa mwislamu mngesema udini sasa Ndomba ni mkatoliki mwenzenu hamna cha kusema mnaanza kupepesa macho!