Nguruvi3,
..talk about MSUMBIJI!??
..hawa ndugu zetu ni kati ya mataifa marafiki waliotusaidia wakati wa vita vya Kagera.
..if I am not mistaken ndiyo nchi pekee iliyotuma askari wake kupigana bega kwa bega na vijana wetu ndani ya Uganda.
..sijui kwanini UNDUGU wetu na MSUMBIJI nao hauko documented vijana wetu wakajua.
..sasa vita ya Msumbiji unayoiongelea wewe iliitwa "Operesheni Safisha". Hii ilikuwa ni baada ya Samora kufariki, na majeshi ya Frelimo yalikuwa na hali mbaya sana.
..ushiriki wetu ktk vita hiyo ulifanywa siri. hata askari wetu waliopoteza maisha huko miili yao ilikuja kurudishwa wakati wa utawala wa Mkapa na kuzikwa kwa heshima za kijeshi Mtwara eneo la Naliendele.
..Gen.Tumainieli Kiwelu made the right observations kuhusu masuala ya Frelimo vs Renamo. Inawezekana kabisa alifanya hivyo kutokana na ripoti za askari wake on the battle field.
..kuna mahali nilisoma kwamba UFISADI ulitamalaki ktk jeshi la Msumbiji kiasi kwamba askari wa Frelimo walianza kushirikiana na magaida wa Renamo ktk biashara haramu kama pembe za ndovu na magendo mengine.
..katika mazingira hayo ndiyo maana utaona msaada wowote ule uliokuwa ukitolewa na TANZANIA na ZIMBABWE haukufanikiwa kuleta hali ya AMANI na USALAMA kwa wananchi wa MSUMBIJI.
NB:
..Tumainieli Kiwelu alitumikia mara mbili kama Afisa Mnadhimu Mkuu[Chief of Staff] wa JWTZ. Mara ya kwanza alikuwa chini ya Abdalah Twalipo, na mara ya pili alitumikia chini ya Gen.Ernest Mwita Kiaro.
..baadaye Raisi Mkapa alimpandisha cheo na kuwa Generali na kumteua kuwa Balozi wa Tanzania Ufaransa. Kati ya Chief of Staff wote ni Kiwelu peke yake ndiye ametunukiwa cheo cha General, ngazi ambayo iko reserved kwa Wakuu wa Majeshi tu.