comrade joka kuu,
Uko sahihi kabisa, brigade ya kusini 401, ilikua ndio brigade yenye nguvu kubwa ya askari na silaha nzito nzito na mara nyingi ilikua STAND-BY..,
Hii ilitokana na threat kipindi kile cha vita za ukombozi wa africa, kaburu alikua threat kubwa sana kwetu,
Kutokana na jwtz kushiriki katika covert operations nyingi huko kusini na kufanya sabotage nyingi kwenye miundombinu ya kaburu, ilitegemewa kwamba somehow, somewhere, oneday, kaburu ange-retaliate.., na kwa sababu hakuwa na mahusiano mazuri na uganda, kenya, zaire, zambia na malawi, ilionekana the possible route ni through mozambique ambapo na yeye alikua ana-conduct covert ops agaisnt machel, hyo ilikua moja ya sababu ya kuiimarisha ile brigade
Pia kulikua na eneo ambalo kaburu alitaka sana kulifanyia sabotage, hii ni kwa mujibu wa taarifa za kiintelijensia kipindi hicho..., hilo eneo liliitwa farm 17, lipo mtwara, pale, ilikua ni training camp ya wapiganaji wa msumbiji, zimbabwe na south africa(anc)..., walifundishwa sabotage (kuharibu miundombinu kama bridges, powerlines, communication centers, dams etc kwa namna yoyote lakn mostly explosives), pia walifunzwa propaganda, skills za gorilla warfare, etc, kaburu alipata shida sana na wapiganaji waliotoka pale na mazimbu. Its a painful truth tulipoteza wengi tu kwenye covert-ops, kuna mahali sitasema wapi, tulipoteza a shocking number of commandos baada ya local "double agent" kuwaingiza kwenye trap...,
pia nakumbuka hali ya usalama wa nchi ilikua tense ilifkia na sisi kila infrastructure muhimu ililindwa na wanajeshi, nadhani mtakumbuka kipindi kile hata madaraja makubwa hasa ya reli tazara yalikua na ulinzi wa jeshi.., hata selander bridge lilikua linalindwa.., brigade zilikua haupiti mwezi lazma stand-by za kutosha
Na ukitaka jua kuhusu ule mpaka wa kusini ulivyokua unalindwa, ule ndio mpaka pekee wenye aerial radar stations nyingi kuliko mpaka wowote kwa ratio ya distance,,, kuanzia ile ya mtwara hadi itungi kyela, zilikua tano (kwa sasa ni classified, taifa kwanza)
Joka kuu, kuhusu kagera, si tulishaweka elimu hapa?