Gen. Mrisho Sarakikya aliwahi kuhusishwa na Uhaini?

Gen. Mrisho Sarakikya aliwahi kuhusishwa na Uhaini?

Ili kujua juu ya utajiri au umasikini wa Cleopa Msuya it is important kuwa na analysis ya utajiri au umasikini wa viongozi wote wa rika lake - it is only then we can say if he is very rich au poor. Hii ni important hasa wakati huu ambako tuna viongozi wadogo sana kuliko yeye wanaokuwa na accounts zenye $1million na kusema hizo ni vijisenti. Nitajaribu kutoa hiyo analysis hapa.

Msuya is in the first generation [FG] Tanzania leaders having graduated from Makerere in 1955 and worked in the civil service first as district officer and from 1964 as Permanent Secretary in several ministries until February 1972 when Mwalimu appointed him Minister of Finance. He became a constituency MP only in 1980 representing Mwanga which was carved out of the Same Constituency - I believe specifically to cater for him..

The first generation of Tanzanian leaders can be categorized into five groups:

First those like Msuya who came in through the professional civil service and after getting formal University higher education in the 1950s and early 1960s. Others in this group include Edwin Mtei; Eliufoo; Nsilo Swai; John Machunda; Dunstan Omari; John Malecela; Job Lusinde; Mark Bomani; Solomon Saibulu; Benjamin Mkapa; Elinawinga; Mwingira; Apiyo; Hussein Mongi; Kleruu; Kinunda; Kaduma; Kuhanga etc etc. This group oscillated in leadership between politics; parastatals and the civil service and a few went to international and regional organizations.

The second group consisted of former traditional chiefs like Chiefs Adam Sapi Mkwawa; Abdieli Shangali; Petro Itosi Marealle and Thomas Marealle; Erasto Mangenya; The Makwaia brothers; Patrick Kunambi; Abdalla Fundikira; Mwami Theresa Ntare; Lukumbuzya; Mtemi Mrisho Kikwete of the Wakwere etc. During the agitation for independence this group was split with some supporting TANU while others opposed it. One of the first things Mwalimu did after independence was to abolish these traditional chiefs na wote wakajulikana kama ëx-Chiefs. This was a bold move by Mwalimu and it should be credited as an important foundation stone to the current cohesion of the Tanzania nation. Most of these leaders were traditionally rich with land, livestock and a few buidings here and there. After independence and abolition of their chiefdom many joined the public service at different lecels and retired in the 1980s & 90s.

The third group were the business oriented leaders - this included businessmen like John Rupia; Aikael Mbowe; John Mwakitangwe etc as well as cooperative leaders like George Kahama; Paul Bomani; Kapinga; Makule; Sangito Kaaya; Japheth Kirilo; Saidi Larusai etc. We could also include under this group the non African business leaders/farmers like Derek Brysceson; Amir Jamal; Alnoor Kassum. some in this group joined ploitics but many remained in business but thier businesses were equally affected by the Ujamaa policies of the 1970s.

The fourth Group ni wale waliokuja through the trade unions and this included Rashid Kawawa; Kasanga Tumbo; Victor Mkello; Jacob Namfua;John Kida; Michael Kamaliza; Rwegasira; Alfred Tandau; Zuberi Mtemvu. Most of these ended up in the political leadership of TANU/CCM or some opposition party. Quite a number were also detained.

The fifth group was a miscellenous group and included rabble rousers like Bibi Titi Mohamed; Edward Barongo ambao wali-play an inordinate role in political mobilization and others like Edward Sokoine who came into politics through the Monduli District Council in the early 1960s; Oscar Kambona; Saidi Maswanya an ex policeman; Steven Mhando; Eli Anangisye; etc.

These five groups have fared very differently in terms of wealth and opportunities they had to accumulate it.. Tukiangalia utajiri wa Msuya sasa hivi - I do not think it is that much more compared to that of leaders of his category- I understand he has a few shares in Mengi's IPP where his children are/were working and a couple of houses in Dar and Kilimanjaro. Also his pension as well as allowances as Chairman of Board in Tanzania Breweries must be netting him sizable income. In short he is comfortsable but not filthy rich as vijana wa vijisenti!

Msuya certainly played a role kuwasaidia Wapare wenzake hasa kwenye kupata mikopo au assistance from the Government. Without him Mwanga would not be where it is now. But the same can be said of other leaders of his generation - without Jamal as an MP of Morogoro from 1970 to 1985 Morogoro town would not have achieved much [On this note Morogoro is one of the lucky towns/regions to have had GIANT MPs like Nyerere as its first elected MP in 1959 when he defeated Chief Patrick Kunambi; Nyerere was followed by Oscar Kambona until when he went to exile in 1967 when Jamal took over].

The important thing ku note on this ni kuwa maendeleo yanayokuja through such high profile leadership sio sustainable whether in Tanzania or elsewhere in Africa [e.g. nobody is talking about the Mtwara Development corridor now that Mkapa is no longer in power; in Kenya when Kenyatta was in power Gatundu got an inordinate share of state resources lakini sasa hivi ni kijiji tu; The same can be said of Kabarak with the Moi regime which is fast descending into the only village in Africa with its own University.

Finally nafikiri ukitaka kuwa fair katika analysis ya utajiri wa first generation of Tanzania leaders - all the five categories - I believe you need to carefully analyze what has happened to their children. The best opportunity they had where they could not be questioned was in the education and mentoring of their children. On this score ex-Mtemi Mrisho Kikwete of the Wakwere in Chalinze/Lugoba scores very highly!

Mungu ibariki Tanzania;

Kudi Shauri.
 
Kudi,
Nina ombi moja tu. Michango yako hapa JF ni elimu adimu. I hope we will be seing more of you, please?
 
kudi shauri,Jasusi,FMES,kichuguu,Rev.Kishoka,

..how does Msuya compare to Kahama,Bomani,Al-Nuur Kassum,Rupia,Mwapachu, Nyirabu, Edwin Mtei, Salim Salim, Ali Hassan Mwinyi, when it comes to money and assets?
 
..how does Msuya compare to Kahama,Bomani,Al-Nuur Kassum,Rupia,Mwapachu, Nyirabu, Edwin Mtei, Salim Salim, Ali Hassan Mwinyi, when it comes to money and assets?

1. Mwinyi.
2. Rupia/Kahama.
3. Bomani.
4. Mtei/Nyirabu.
5. Mwapachu/Kassum
6. Msuya/Salim
 
kudi shauri,Jasusi,FMES,kichuguu,Rev.Kishoka,

..how does Msuya compare to Kahama,Bomani,Al-Nuur Kassum,Rupia,Mwapachu, Nyirabu, Edwin Mtei, Salim Salim, Ali Hassan Mwinyi, when it comes to money and assets?
jokaKuu,
Good question.
Edwin Mtei si tajiri wa kuweka kwenye kundi la akina Bomani na Kahama.
Bomani made his money in the pamba business,( ingawa kuna rumour aliwahi kupata almasi ya Mwadui ndiyo akatumia kuanzisha mtaji. Like I said it was a rumour making the rounds in Mwanza in my youth. So let us leave it at that.) Kahama ametajirika na mradi wa Dodoma, ingawa naye alikuwa na hela kidogo kutoka Cooperatives za kahawa. Rupia the elder had his own money made during colonial rule. Al Noor Kassum nasikia alirithi utajiri wake kutoka familia yake. Mwinyi katajirika baada ya kuingia Ikulu, simple as that.
Salim Salim, nisingemweka kwenye kundi la akina Kahama, Bomani. He is well to do lakini sidhani ni tajiri wa kutupwa. Nyirabu kadhalika. Anazo nyumba mbili DSM na moja Tarime. I do not know if you would call that utajiri. Pia kuna rumours alikuwa kwenye business na Mzee Gachuma, lakini hiyo pia ni rumour. Kwa kuongezea tu Kahama hivi sasa anajiongezea utajiri kutokana na mwanae kuwa rais wa kampuni moja inayomilikiwa na Barrick. Kwa hiyo huyu yumo mwenye kundi moja na wale wanaotajirika na madini yetu. Akina Mwapachu sina data zao, nitawaachia wanaojua wajazie.
 
Mwapachu kwa kweli mbali ya kuwa SUPER MANAGER enzi za mwalimu hana kitu cha kuweza kukisema hadharani. Tanga ana nyumba kule mwambani nje kidogo ya mji wa Tanga ipo baharini.

Dar sijui. Ila najua hana kitu cha kutisha. Wanae wote ni wahangaikaji hapa town na hawana kitu chochote zaidi ya kuajiriwa ktk makampuni binafsi
 
Gustanza-The,

..Salim Salim amekuwa balozi kwa muda mrefu sana. sasa huko ndiko alikochumia fedha zake.

..mabalozi wana benefits nyingi sana ikiwemo nyumba, na usafiri bure. pia wanapewa allowance ya kujikimu kwa kufanyia shughuli za mialiko kwa wageni mbalimbali.

..juu ya hayo, wakati Salim Salim akiwa balozi, serikali ya Tanzania ilikuwa inabeba gharama za kusomesha watoto wa watumishi wa balozi zetu nje.

..kwa msingi huo utaona kwamba kwa Mtanzania yeyote alikuwa balozi kwa muda mrefu kama Salim Salim umasikini kwake ni jambo la kujitakia tu.

NB:

..Mabalozi huwa hawalipi/hawatozwi kodi ktk nchi wanazowakilisha.
 
Aliyemfukuza Mrema alikuwa ni the then Waziri Mkuu Msuya, ambaye alilaaaniwa sana kwenye kikao kilichofuatia cha CC na ni hoja hii ya kumfukuza Mrema ndio iliyopelekea kupitishwa kwa Mkapa,

Msuya alipokuwa anamfukuza Mrema, alidhani anajipalilia njia ya kuwa rais 1995, little he knew kuwa alikua anajinasa kwenye mtego ulkiowekwa tayari wa njia ya Mkapa kuwa the next president, na kwamba Mream was getting a bck up kutoka kwenye a strong hand,
Ni kwenye hicho kikao ndio Msuya akagundua the deal baada ya kushambuliwa sana, wakati yeye alidhani atasifiwa sana, and he cried very hard baada ya kikao.
Ok. This was the plan!! Na nakuwa na hisia kama Mrema hakuwa persee mpinzani, bali ni mtekelezaji wa mipango mikubwa ya chini chini. Pole Mzee Msuya. Majuto mjukuu hata hivyo!!
 
Hii ni thread nzuri!Huwezi ukapata info kama hizi kwenye Daily News ,Uhuru na Mzalendo.Can you imagine kama baba yako anawekwa kizuizini kwa miaka kadhaa ,hakuna kusafiri kutoka Mafia etc etc?Itakuwa best seller kama watoto wa akina James Mapalala,Kasanga Tumbo na Kasella Bantu wakikusanyika na kuandika account ya what happened kwa baba zao.But we dont have good investigative journalists wenye courage kuandika account hizi!
 
Kwa majibu yaliyo sahii, nakushauri uwesiliane na Mirisho mwenyewe kwani yupo hai ili upate accurate information.
Pili; wasiliana na mama maria nyerere kwani anafahamu vizuri mambo yalivyoenda
Tatu: Kawawa yupo, ukamtembelee naupige na stoory atakupa picha ilivyokuwa
 
Kwa majibu yaliyo sahii, nakushauri uwesiliane na Mirisho mwenyewe kwani yupo hai ili upate accurate information.
Pili; wasiliana na mama maria nyerere kwani anafahamu vizuri mambo yalivyoenda
Tatu: Kawawa yupo, ukamtembelee naupige na stoory atakupa picha ilivyokuwa

NDUGU YANGU UNADHANI UNAWEZA KUPAta habari za uwazi kwa kuwahoji wahusika?
 
Gustanza_The,

vipi hiyo paper yako bado haijakamilika,mimi nadhani kama hipo tayari na sisi wa humu JF ungetuwekea ili tupate historia ambayo hatuhijuhi kabisa
 
NDUGU YANGU UNADHANI UNAWEZA KUPAta habari za uwazi kwa kuwahoji wahusika?

Ndiyo. Nijuavyo mimi kama unataka habari sahihi, ni vizuri kuwahoji wahusika, maana ndo wanaojua ukweli ulivyo.
Ukiwahoji watu ambao si wahusika, basi hutapata taharifa iliyo sahihi, kweni wataeleza mambo ambayo wanasikia au waliona bila kuwa na uhakika wa jambo lenyewe.🙂
 
Gadem!
Nimeisoma thread yote nzima kana kwamba naisoma mara ya kwanza. Kweli JF kuna vichwa. Long live!
Hii forum kuna kitu kikubwa imekibeba kwa ajiri ya Taifa hili. Time will tell, maana I am a beliver of the fact that there is a space between stimulus and response
 
Finally nafikiri ukitaka kuwa fair katika analysis ya utajiri wa first generation of Tanzania leaders - all the five categories - I believe you need to carefully analyze what has happened to their children. The best opportunity they had where they could not be questioned was in the education and mentoring of their children. On this score ex-Mtemi Mrisho Kikwete of the Wakwere in Chalinze/Lugoba scores very highly!

Mungu ibariki Tanzania;[/QUOTE]

Hapa Mzee umegusa kwenyewe!!! Ukiona watoto wamechoka ujue baba zao walikuwa power mongers , they spent everything when they were in power, walipotoka kwenye line tuu kwisha!!
 
Nadhani alipelekwa Nigeria,baada ya kuwepo mashaka kuhusu utiifu wake. Lakini nadhani haya matatizo yote yalikuwa ni paranoia on the part of the President,siyo Sarakikya tu;Col. Geoffrey Marealle,na yule nani mwingine,aliyekuwa Chief of Staff halafu akawa Mkuu wa Mkoa,Kihwelu.
 
Duh Jamiiforum kweli kiboko nimesoma hii thread kuanzia mwanzo hadi mwisho nimechota elimu kubwa sana kuhusu Tanzania.Mkuu Kudi Shauri bila shaka ametoa mchango uliotukuka.Sijui ni kwanini mara nyingi hashiriki kutoa michango hapa jamvini.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom