Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,499
Mwenyekiti wa Umoja wa vijana wa chama cha Mapinduzi UVCCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo amewaasa Viongozi wa Chama na Serikali kuendelea kuyasemea mazuri ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ikiwemo ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea Mkoani Geita.
Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua uhai wa chama ambapo amewaasa wana CCM kuwa mstari wa mbele katika kusema yanayofanywa na Serikali.
Hayo ameyasema wilayani Bukombe wakati alipofanya ziara ya kutembelea na kukagua uhai wa chama ambapo amewaasa wana CCM kuwa mstari wa mbele katika kusema yanayofanywa na Serikali.