mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,760
- 35,205
Pole sana mkuu, ila yapo mengi yanayotonesha vidonda... tunaumia kwa ndugu zetu waliowawa bila kuangalia vyama sababu ipo tofauti kati ya muuaji kuwa mwanachama wa chama fulani na chama kuwatuma wafuasi wake kufanya mauaji.We dada usitafute justification kwa yaliyotokea huko Zanzibar na bara.
Unatonesha vidonda
Ndio maana watu wanafurahi vifo vya ccm kwasababu ni waovu sana
CCM pia wameuwawa sana lakini busara yao imesaidia kudeal na wauaji badala ya kuchafua vyama upinzani au serikali.
https://www.ippmedia.com/sw/habari/kada-wa-ccm-adaiwa-kuuawa-kwenye-vurugu
Mauaji Kada wa CCM Njombe, JPM Aagiza…
Kada wa CCM auawa kwa kupigwa risasi Kibiti
Kibiti. Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Bungu wilayani hapa, Alife Mtulia ameuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana akiwa nyumbani kwake.
www.mwananchi.co.tz
KADA MWINGINE WA CCM AUAWA RUFIJI - Mtanzania
Mtanzania KADA MWINGINE WA CCM AUAWA RUFIJI -
mtanzania.co.tz
Kuwatumia waliouwa ili kuchochea mauaji sio suluhu ila ni kuzidi kuhatarisha usalama wetu sote