Geita, Chato: Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, kutua nchini Tanzania Kumtembelea rais Magufuli

Atatua Chato International Airport ........ Msukuma anakula raha.

Hata Nyerere hakuwahi kuwa na hiyo luxury ya kutembelewa na Marais Nyumbani kwake!!
Usifananishe zama za ujima na za sasa,mambo hayagandi
 
Eti wanasema kuwa baada ya miaka kama 30 hivi Chattle itakuwa kama New York????!!!!!
 
Itakuwa vema kila ziara itakayofanywa na viongozi kutoka mataifa mengine, washukie chattou aisee.. Wallah wanatusaidia sana hapa dar kupunguza foleni.. Waziri Mkuu nae akajenge chake Ruangwa huko, wageni wake nae washukie kwake..
 
Aisee. .hizo ziara za chato. Zina lengo ya kuutangaza Sehemu kimataifa. .ili wapate kupiga ma -deal yao
 
Natamani mtani wangu angebaki huko huko Geita na kuendesha nchi akitokea huko. Chato International Airport inanoga sana kwa wageni kutua na kusuka. Ha ha ha ha ha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…