Geita, Chato: Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, kutua nchini Tanzania Kumtembelea rais Magufuli

Eti wanasema kuwa baada ya miaka kama 30 hivi Chattle itakuwa kama New York????!!!!!
 
Itakuwa vema kila ziara itakayofanywa na viongozi kutoka mataifa mengine, washukie chattou aisee.. Wallah wanatusaidia sana hapa dar kupunguza foleni.. Waziri Mkuu nae akajenge chake Ruangwa huko, wageni wake nae washukie kwake..
 
Aisee. .hizo ziara za chato. Zina lengo ya kuutangaza Sehemu kimataifa. .ili wapate kupiga ma -deal yao
 
Natamani mtani wangu angebaki huko huko Geita na kuendesha nchi akitokea huko. Chato International Airport inanoga sana kwa wageni kutua na kusuka. Ha ha ha ha ha
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom