Geita, Chato: Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Museveni, kutua nchini Tanzania Kumtembelea rais Magufuli

Kagame ana tua lini kumalizia circle?
Kama ukikuwepo akilini mwangu Nina wasiwasi na hizi ziara Nadhani kuna mahali mzee baba anakwama hivyo anahitaji uzoefu, na kuna uwezekano anawaalika Kenyata ni mambo ya biashara. M7 ni maswala ya siasa maana bob eine na Lisu wanafanana na Kagame akiitwa basi utamalizia mwenyewe nn kinafutaa maana jamaa sianapenyeza kila nchi kuwafuata wapinzani wake ....... Hofu yangu hizi ziara zinawezankutumiwa na wabaya wa hao marais sijajua na mm si mtaalamu wa maswala ya ulinzi na usalama sijui chato iko na capasity ganinyakupokea rais na kulinda msafara
 
Atatua Chato International Airport ........ Msukuma anakula raha.

Hata Nyerere hakuwahi kuwa na hiyo luxury ya kutembelewa na Marais Nyumbani kwake!!
Duh, una umri gain? Nenda Msasani nyumbani kwa Mwl. Nyerere uone kitabu cha wageni na idadi ya marais waliomtembelea. Kumbuka Msasani kwa Mwl siyo Ikulu ya taifa.
 
Safi Sana! Sasa nazani wengi watamuelewa mjomba Magu. Lazima watu hasa wageni wajue kuwa Tanzania sio Dar na Arusha pekee. Watu wa chato pia wapate fursa ya kuona viongozi wa kigeni. Dar ni mji wa biashara sio kila siku kusumbuana na mifoleni ya misafara isiyokuwa na faida ya moja kwa moja kwa msaka tonge zaidi ya kuharibiana timing.
 
Msasani siyo kijijini kwa Mwalimu. Kijijini ni Mwitongo.
 
Chato International Airport
Geita, Tanzania
Macho Na Masikioni Yote Huko Mbele Anakotua Museveni
 
Msasani siyo kijijini kwa Mwalimu. Kijijini ni Mwitongo.
Issue ni mji binafsi. Magufuli amechagua mji wake binafsi ni Chato sake to bado ni Rais. Siyo Dar es salaam. Mwitongo imejengwa baada ya kustaafu utumishi wa umma. So, usitake kuleta hoja pasipo hitajika.
 
Kama ukikuwepo akilini mwangu Nina wasiwasi na hizi ziara Nadhani kuna mahali mzee baba anakwama hivyo anahitaji uzoefu, na kuna uwezekano anawaalika Kenyata ni mambo ya biashara. M7 ni maswala ya siasa maana bob eine na Lisu wanafanana na Kagame akiitwa basi utamalizia mwenyewe nn kinafutaa maana jamaa sianapenyeza kila nchi kuwafuata wapinzani wake ....... Hofu yangu hizi ziara zinawezankutumiwa na wabaya wa hao marais sijajua na mm si mtaalamu wa maswala ya ulinzi na usalama sijui chato iko na capasity ganinyakupokea rais na kulinda msafara
Hajakwama mkuu ni mazungumzo yakimkakati, kumbuka juzi M7 PAKA na Tshisekedi walikuwa angola kwenye mazungumzo ya mikakati ya kiusalama kabla ya kikao hicho Kenyatta aliteteta na JPM na sasa M7 anateta na JPM, ikumbukwe JPM, mazungumzo kama haya hufanyika faragha sana, hata marekani mazungumzo kama haya hufanyika Camp David na sio White House.
 
Atatua Chato International Airport ........ Msukuma anakula raha.

Hata Nyerere hakuwahi kuwa na hiyo luxury ya kutembelewa na Marais Nyumbani kwake!!
Mr Zero sio kweli kwamba Nyerere hakupata bahati hiyo, walikuwa wanakwenda wengi tu, sema hawakutua katika uwanja wa ndege uitwao Musoma International Airport.
 
Mkuu, walikwenda wakati akiwa Rais au baada ya kustaafu...!?
Hata akiwa rais mara moja moja walikuwa wanakwenda. Hakuna ubaya wowote kwani hakuna sheria inayovunjwa.

JPM anaweza kualikwa Kenya au Uganda nyumbani kwa marais wao, na media zao zisione ni jambo lenye kuhitaji mjadala mrefu.
 
Mkuu sina tatizo na Marais kumtembelea JPM kijijini kwake. Comment yangu ilikuwa ni dimple tu kuwa jamaa anakula raha mpaka a napata luxury ya kutembelewa kijiji kitu ambacho huko nyuma hagukizoea.

Naona kuna watu hawakuipenda Hii comment.
 
Maisha mafupi mkuu, ukipata nafasi ya kula bata unatakiwa uitumie ipasavyo.
 
Back
Top Bottom