MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 7,986
- 6,248
..au tuwape ngedere..Safari hii tutawapa punda
Nasikia kule kwa mu7 wanyama hao waharibifu ni adimu sana
..au tuwape ngedere..Safari hii tutawapa punda
Usifananishe zama za ujima na za sasa,mambo hayagandiAtatua Chato International Airport ........ Msukuma anakula raha.
Hata Nyerere hakuwahi kuwa na hiyo luxury ya kutembelewa na Marais Nyumbani kwake!!
Kagame ana tua lini kumalizia circle?
Nasikia Uber wameshaanza kutoa huduma katika jiji la Chato.
Hivi chato anafanya nn mpaka leo
Alisemaga hata yeye alianzia mapangaboy hahah,atakuja mwishoni huko chato labda.Yule ndiye best wetu na ndiye mashauzi was manunuzi ya pangaboy wakati yeye ana nunua Boeing Air Bus
Kwani zama za ujima hakukuwa na raha .... that time it was even better kwa kuwa ni wachache sana waliokuwa wanakula raha!!Usifananishe zama za ujima na za sasa,mambo hayagandi
Karagwe tukaone Ranch yake ya hecta 5000 ! Sijui wameporwa akina nani ardhi yao!Hizi ziara zinazomiminika hivi karibuni nini manufaa yake?
Au ndo utalii katika hifadhi ya wanyama #BURIGI?
Mimi na wewe tunasubiri nini, twendeni chato utalii wa ndani pia ni muhimu.
RegardsView attachment 1151789
Toa 0 ibaki tatu |
Mbowe alikuacha huku ukimpenda sana. Si vibaya kurudiana na X, mtafute pm.Mbowe ni tajiri asiyetoa msaada
Tutampa Faru John. Myseven ana wuvu wa kike.Safari hii tutawapa punda