Labda mumewe yuko puuuu!!huyo mama ameolewa na mumewe yupo hai, iweje azikwe kwenye makaburi ya familia ya magufuli? tena ndani ya makazi ya kaka yake?
Labda mumewe yuko puuuu!!huyo mama ameolewa na mumewe yupo hai, iweje azikwe kwenye makaburi ya familia ya magufuli? tena ndani ya makazi ya kaka yake?
Msamehe ni akili za kina Lema babaNitakutukana matusi ya nguoni wewe ee Mungu nipe uvumilivu
Ukijibiwa tafadhali nitafute kwa namba 0123456789huyo mama ameolewa na mumewe yupo hai, iweje azikwe kwenye makaburi ya familia ya magufuli? tena ndani ya makazi ya kaka yake?
Ngedere wewe kwa nini mke akifa azikwe kwa mumewe Na mume akifa kwa nini asizikwe kwa mkewe .shenzi type mwendekeza mfumo dume wewe.Kwa nini iwe one sided shenzi wewe.A road is a two way traffichuyo mama ameolewa na mumewe yupo hai, iweje azikwe kwenye makaburi ya familia ya magufuli? tena ndani ya makazi ya kaka yake?
matusi yako hayajajibu swali, bali yameonyesha jinsi ulivyo mpumbavu na lofaNgedere wewe kwa nini mke akifa azikwe kwa mumewe Na mume akifa kwa nini asizikwe kwa mkewe .shenzi type mwendekeza mfumo dume wewe
Kwa nini mwanamke akifa azikwe kwa familia ya mume? Na kwa nini mume akifa asizikwe kwa familia mke jibu wewe?matusi yako hayajajibu swali, bali yameonyesha jinsi ulivyo mpumbavu na lofa
Urais ni Taasisi,huwezi kufananisha na KuBSasa hao maafisa usalama wanafuata nini? Hata kwenye msiba, tena nyumbani kwa mkuu mwenyewe wao wammganda mkuu utafikiri kumbi kumbi!
Nilikuwa namaanisha kuwa wakati mwingine wawe normal basi! Kila mahala protocol tuuu! Inakuwa so robotic sasa..Urais ni Taasisi,huwezi kufananisha na KuB
imeandikwa wapi kwenye biblia hayo mambo nipanue ufahamu wanguSawa, lakini kama mwanamke kaolewa huwa ikitokea kafariki anazikwa kwenye ardhi ya mumewe/kwao mumewe, iweje huyu ambaye ana mme watoto na wajukuu azikwe kwao
Nimeshamjibu
wapi umeona nimetaja kuwa yameandikwa katika bibliaimeandikwa wapi kwenye biblia hayo mambo nipanue ufahamu wangu
Wanamlinda marehemu asije akaamka na kumkaba mheshimiwaSasa hao maafisa usalama wanafuata nini? Hata kwenye msiba, tena nyumbani kwa mkuu mwenyewe wao wammganda mkuu utafikiri kumbi kumbi!
Hapo kwenye red mkuu, utatangulia wewe!! Mimi nakuambia kama kesho utaiona labda siyo mimi!!Hiyo lazima mzee hadi mzee anastaafu ni protocol tuu zipo wanamuacha mda wa kulala tuu ndo maana hata anapokua Ofisini kwake pale ikulu unakuta kolido zote wamezikamata
Urais mtamu ndo maana Lowassa anapambana ili aupate na Mda umeshamuishia hivyo ardhi inamuita.
Msamehe bure maana hajui aliloandikaNitakutukana matusi ya nguoni wewe ee Mungu nipe uvumilivu
Wacha uongo wewe,, alikuwa anasimulia mama yake alivyokuwa akimwambia kwamba mama yeye ndiye angetangulia kabla ya huyo binti yake maana ndiye alikuwa akimtafutia mboga za majani pia ndiye alikuwa akizijua dawa alizokuwa akitumia huyo mamake! Muwage mnasikiliza vizuri ndio maana hata mitihani huwa mnafeli hivi hivi!!Kuna sehemu JIWE kasema bora angetangulia yeye.
Mkuu nimeifuta mkuuHapo kwenye red mkuu, utatangulia wewe!! Mimi nakuambia kama kesho utaiona labda siyo mimi!!
Aisee, amefika mpk masters kweli usikae unamcheka mtuAnamalizia Masters pale UDOM