Geita, Chato: Mwili wa Monica Magufuli, wazikwa katika Makaburi ya familia

huyo mama ameolewa na mumewe yupo hai, iweje azikwe kwenye makaburi ya familia ya magufuli? tena ndani ya makazi ya kaka yake?
Ngedere wewe kwa nini mke akifa azikwe kwa mumewe Na mume akifa kwa nini asizikwe kwa mkewe .shenzi type mwendekeza mfumo dume wewe.Kwa nini iwe one sided shenzi wewe.A road is a two way traffic
 
Hiyo lazima mzee hadi mzee anastaafu ni protocol tuu zipo wanamuacha mda wa kulala tuu ndo maana hata anapokua Ofisini kwake pale ikulu unakuta kolido zote wamezikamata

Urais mtamu ndo maana Lowassa anapambana ili aupate na Mda umeshamuishia hivyo ardhi inamuita.
Hapo kwenye red mkuu, utatangulia wewe!! Mimi nakuambia kama kesho utaiona labda siyo mimi!!
 
Kuna sehemu JIWE kasema bora angetangulia yeye.
Wacha uongo wewe,, alikuwa anasimulia mama yake alivyokuwa akimwambia kwamba mama yeye ndiye angetangulia kabla ya huyo binti yake maana ndiye alikuwa akimtafutia mboga za majani pia ndiye alikuwa akizijua dawa alizokuwa akitumia huyo mamake! Muwage mnasikiliza vizuri ndio maana hata mitihani huwa mnafeli hivi hivi!!
 
Back
Top Bottom