Geita, Chato: Mwili wa Monica Magufuli, wazikwa katika Makaburi ya familia

Apumzike kwa amani Monica! Kwa nn hajazikwa aliko olewa jaman! Au alishatengana na mmewe? Hii hali nimekuta wanaume wengi wa kisuukukuma wametengana sanaa na wake zao

Sent using Jamii Forums mobile app
huyo mama ameolewa na mumewe yupo hai, iweje azikwe kwenye makaburi ya familia ya magufuli? tena ndani ya makazi ya kaka yake?
Vipi kwanini azikwe kwa kaka? Any way rip monica!

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi kwanini azikwe kwa kaka? Any way rip monica!

Sent using Jamii Forums mobile app
Uchawi sio lazima upae na Dreamliner (Ungo). Wachawi katika ubora wenu uliotukuka.
 
Unitukane kwa kosa gani ndugu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una kosa la kutoa hoja cheap ndio maana kakujibu hivo
Kwa kukusaidia tu ni hivi.once mtu amekua rais basi atalindwa popote aendapo maisha yake yote na akifa mwili wake utalindwa milele, na familia yake itapewa pesa za matunzo pamoja na ulinzi mpaka watoto wafikie 18 yrz ila mke nae hulindwa mpaka kifo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mama aliolewa na mumewe yupo hai na watoto wapo pamoja na wajukuu zake lakini amezikwa kwa kaka yake kwa nini.?

Labda sijui mila za wasukuma.!



Sent using Jamii Forums mobile app
wewe bwege mtetea Mfumo dume at work kwa nini hata mume akifa kwa nini asizikwe kwa familia ya mkewe ? Why iwe kwa mke isiwe kwa mume? Swali la pili wizara ya jinsia Na katoto ipeleke mswada haraka bungeni mke akifa mfano nyumba,m magari , biashara nk waliyokuwa wakiingia na kufanya Na mwanamke aliyefariki huwa haijadiliwi mirathi kama vile vyote vya mwanaume wakati yawezekana vyote ni vya mwanamke hata kwa title deeds lakini mume akifa mke inachukuliwa kama Mali zote alichuma mwanaume Na ndugu hukomaa kutaka Kila kitu kiingie mirathi.Mbona hawakomai mume akifa? Shenzi type mfumo dume
 
Back
Top Bottom