Geita, Chato: Mwili wa Monica Magufuli, wazikwa katika Makaburi ya familia

Kuna vitu vinashangaza kweli kweli, Huu ulinzi ni wa miaka ya nyuma, leo unaona Trump kama hana ulinzi kumbe hatari ata panya hasogei mambo ya kumkata kama luba mkuu wetu wa dola sio poa mpaka watu waanze kulizana Rais ndo Yupi pale.
Wanafanya ulinzi kwa staili ya karne ya 19. ! Leo tuko 21st karne! Jitu linamsimamia raisi nyuma utafikiri mlingoti!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanafanya ulinzi kwa staili ya karne ya 19. ! Leo tuko 21st karne! Jitu linamsimamia raisi nyuma utafikiri mlingoti!

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa PSU wajifunze sasa kutokea kwa mataifa mengine, inafurahisha kumuona Rais pekee kwenye picha au na watu aliowakusudia kupiga nao picha au Lah, Mimi hata ADC hanifurahisha kumzonga vile mkuu wetu na mwenzie details Leader, kama humjui unaweza kuuliza ni Yupi Rais pale.
 
Dah
Sasa hao maafisa usalama wanafuata nini? Hata kwenye msiba, tena nyumbani kwa mkuu mwenyewe wao wammganda mkuu utafikiri kumbi kumbi!
Dah unamengi sana ya kujifunza..Ila nashukuru hupo humu JF utakuwa unapata mawili matatu
 
Dah

Dah unamengi sana ya kujifunza..Ila nashukuru hupo humu JF utakuwa unapata mawili matatu
Kujifunza kila ndiyo sehemu ya maisha ya mwanadamu. Asiyekubali kufundishwa basi huyo mtu ana matatizo. Ulikuwa na maana gani hayo maoni yako? Kipi haswa ambacho sikielewi ktk mjadala huu? Fafanua ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kujifunza kila ndiyo sehemu ya maisha ya mwanadamu. Asiyekubali kufundishwa basi huyo mtu ana matatizo. Ulikuwa na maana gani hayo maoni yako? Kipi haswa ambacho sikielewi ktk mjadala huu? Fafanua ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina maana Mr.Ulichosema ni kweli kabisa kujifunza ni lifetime process.Kuhusu Protocols na Ulinzi wa viongozi ni jambo pana sana.Rais pindi anapoteuliwa tu na chama kugombea anapewa ulinzi yeye na familia yake na nyumba(Hii ilianza baada ya mteuliwa mgombea Alipo uwawa Marekani alikuwa anaitwa Robert F Kennedy ndugu wa John F Kennedy) Namaana chato ulinzi upo 24/7
 
Sina maana Mr.Ulichosema ni kweli kabisa kujifunza ni lifetime process.Kuhusu Protocols na Ulinzi wa viongozi ni jambo pana sana.Rais pindi anapoteuliwa tu na chama kugombea anapewa ulinzi yeye na familia yake na nyumba(Hii ilianza baada ya mteuliwa mgombea Alipo uwawa Marekani alikuwa anaitwa Robert Kennedy ndugu wa Frank Kennedy) Namaana chato ulinzi upo 24/7
Ok

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwili wa Monica Magufuli (Dada wa Rais Magufuli ) umezikwa katika makaburi ya familia yaliyopo ndani ya makazi ya Rais katika Kijiji cha Mlimani, Kata ya Muungano Wilaya ya Chato mkoani Geita.

Monica alifariki Jumapili Agosti 19 mwaka huu kwenye Hospitali ya Bugando, Mwanza.






View attachment 843316
View attachment 843327
Rais Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati wakiaga Mwili wa Marehemu Monica Magufuli nyumbani kwao ktk kijiji cha Mlimani

Yono vibe

hii sio habari . kila fariki lazima azikwe. habari ni tukio lisilo la kawaida
 
Ngedere wewe kwa nini mke akifa azikwe kwa mumewe Na mume akifa kwa nini asizikwe kwa mkewe .shenzi type mwendekeza mfumo dume wewe.Kwa nini iwe one sided shenzi wewe.A road is a two way traffic
Ndugu tumekusifu kukimbia umepapita hadi kwenu.!
Kila mtu unamjibu kwa matusi tu unaona fashion sasa eti.?
Wajibu kwa hoja tu au ukae kimya.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom