Geita, Chato: Mwili wa Monica Magufuli, wazikwa katika Makaburi ya familia

pantheraleo

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
691
878
Mwili wa Monica Magufuli (Dada wa Rais Magufuli ) umezikwa katika makaburi ya familia yaliyopo ndani ya makazi ya Rais katika Kijiji cha Mlimani, Kata ya Muungano Wilaya ya Chato mkoani Geita.

Monica alifariki Jumapili Agosti 19 mwaka huu kwenye Hospitali ya Bugando, Mwanza.

IMG_20180821_171401.jpeg

IMG_20180821_173458.jpg

Rais Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati wakiaga Mwili wa Marehemu Monica Magufuli nyumbani kwao ktk kijiji cha Mlimani

Yono vibe
 
Sasa hao maafisa usalama wanafuata nini? Hata kwenye msiba, tena nyumbani kwa mkuu mwenyewe wao wammganda mkuu utafikiri kumbi kumbi!
Hiyo lazima mzee hadi mzee anastaafu ni protocol tuu zipo wanamuacha mda wa kulala tuu ndo maana hata anapokua Ofisini kwake pale ikulu unakuta kolido zote wamezikamata

Urais mtamu ndo maana Lowassa anapambana ili aupate na Mda umeshamuishia hivyo ardhi inamuita.
 
Siyo mchezo..
 
Apumzike kwa amani Monica! Kwa nn hajazikwa aliko olewa jaman! Au alishatengana na mmewe? Hii hali nimekuta wanaume wengi wa kisuukukuma wametengana sanaa na wake zao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom