Geita, Chato: Mwili wa Monica Magufuli, wazikwa katika Makaburi ya familia

Kwa nini mwanamke akifa azikwe kwa familia ya mume? Na kwa nini mume akifa asizikwe kwa familia mke jibu wewe?
Mwanamke akiwa Na uwezo au ndugu zake ndio mnapigania azikwe kwa mumewe mle michango Na mirathi ya Mali alizowezeshwa Na ndugu zake wenye uwezo wavivu nyie pambaneni Na hali yenu msivizie mirathi.
 
Mwili wa Monica Magufuli (Dada wa Rais Magufuli ) umezikwa katika makaburi ya familia yaliyopo ndani ya makazi ya Rais katika Kijiji cha Mlimani, Kata ya Muungano Wilaya ya Chato mkoani Geita.

Monica alifariki Jumapili Agosti 19 mwaka huu kwenye Hospitali ya Bugando, Mwanza.






View attachment 843316
View attachment 843327
Rais Magufuli akiwa na Mama yake mzazi Suzana Magufuli wakati wakiaga Mwili wa Marehemu Monica Magufuli nyumbani kwao ktk kijiji cha Mlimani

Yono vibe

Labda kifohiki kitamzindua Jiwe ajue kuna kufa vyote hivi akaviacha. Hivyo akapunguza dhulma.
 
Back
Top Bottom