Gbagbo awataka askari wa UN waondoke Ivory Coast

Gbagbo orders UN, French troops out of Côte d'Ivoire
2010-12-17T123334Z_1884376587_GM1E6CH1L8A01_RTRMADP_3_IVORYCOAST_0.JPG
UN soldiers on the streets of Abidjan on Friday





By RFI
In Côte d’Ivoire Laurent Gbagbo has ordered that UN forces (Onuci) and French troops leave the country, a government representative announced in a statement read on state television.

"The president of the Republic of Côte d’Ivoire has just asked for the immediate departure from Ivorian territory of Onuci and the French forces that support it," Education Minister Jacqueline Lohoues-Oble said.
Gbagbo is fighting off international pressure to cede power to Alassane Ouattara after last month's presidential election.
The United Nations, the US, the European Union, France and several African countries have recognised Ouattara as president, but Gbagbo refuses to stand down.
Gbagbo's supporters have accused the United Nations 10,000-strong Onuci peacekeeping force and France's 900 troops in Ivory Coast of supporting pro-Ouattara rebel fighters.
The spokesperson repeated these claims and said: "The Ivorian government considers that Onuci has broadly failed in its mission in carrying out acts that are not in conformity with its mandate.
"This means that the Ivorian government henceforth opposes renewal of the operation's mandate, which expires on 20 December 2010.”
 
The situation is getting worst...kwa nini Qattara asimuachie Gabgo aongoze for the sake of wananchi? itamsaidia nini nchi ikiiningia kwenye machafuko? na yeye pia ana uchu wa madaraka.

Kwako wewe mbabe na mdhulumu haki ni mwache apite!
 
Inasemekana jamaa kanunuliwa na whites kumtangaza Quattara mshindi. Wazungu wana maslah yao binafsi na ndio maana wameng'ang'ania Gabgo atoke manake hawamtaki...kwa nini hawa International forces waelemee upande mmoja tu??
Tuna uhakika gani kuwa Qattara ni mshindi halali wa uraisi?

Huu ndiyo uozo na uzumbukuku tulionao waafrika hasa viongozi wenye uroho wa madaraka kama CCM, kila wanapoona mambo hayaendi wanasingizia whites, ujinga mtupu. Wananchi wasipokupa kura kubali ndiyo demokrasia hiyo.
 
The situation is getting worst...kwa nini Qattara asimuachie Gabgo aongoze for the sake of wananchi? itamsaidia nini nchi ikiiningia kwenye machafuko? na yeye pia ana uchu wa madaraka.

Uzao wa CCM utaujua tu
 
Maaskari wa UN wanafanya nini Ivory Coast?

Kulikuwa na makubaliano kuwa UN ndio isimamie uchaguzi kule na ndio maana kuna askari wao na ndio maana UN imekubali kuwa Mpinzani kashinda na ndivyo ilivyotangazwa na tume.
 
Hivi Gbagbo aongea kama nani.......baada ya dunia kumthibitisha na kumwita ni kibaka wa kura za raia wanyonge?
 
Raia wa ivory coast London waanadamana...
438644.JPEG

A supporter of Ivorian President Laurent Gbagbo attends a demonstration in central London. UN chief Ban Ki-moon rejected a demand that UN peacekeepers leave Ivory Coast, heightening the international confrontation with contested leader Laurent Gbagbo. AFP
 
Uzao wa CCM utaujua tu

The issue is that a lot of media organs in African have been relaying information from international press without knowing the ramifications of their actions.
It becomes very dangerous and troubling when media in Cameroon and most of Africa, get their news on elections in Cote D 'Ivoire only from CNN, France 24, rfi or sister media, most of who do analysis somtimes without knowing exactly what happened, or limiting their analysis to immediate actions without knowing what provoked the actions or again out rightly analysing without taking into consideration what the law of that country says with respect to what they are analysing.

As far as the November presidential elections in Cote D Ivoire are concerned, you may want to read this article culled from this newspaper http://www.notrevoie.com/Home.asp. Or http://www.notrevoie.com/a_la_une.asp?id=37453 or read the whole edition of Notre Voie No 3747 of December 03, 2010.


mimi sio uzao wa CCM bro.
 
Gbabo naona anaanza kufanikiwa kampeni yake ya kuwafanya Wafaransa waonekane maadui
 
UN chief Ban rejects call for Ivory Coast troop pullout

_50486629_010875043-1.jpg
The election dispute has led to violence on the streets of Abidjan

Continue reading the main story Related stories



UN Secretary General Ban Ki-moon has rejected a call for UN troops to leave Ivory Coast as tensions escalate after last month's presidential election.
Incumbent Ivory Coast President Laurent Gbagbo had earlier demanded that all foreign peacekeepers leave the country.
His spokesperson accused UN and French troops of colluding with former rebels.
The UN and major powers have recognised Mr Gbagbo's rival, Alassane Ouattara, as the winner of the 28 November poll. Mr Gbagbo insists he has won.
Mr Ouattara is currently under UN protection at a hotel in Abidjan.
In a statement read out on national television on Saturday, government spokeswoman Jacqueline Oble said Mr Gbagbo had "requested the immediate departure of the Unoci [UN mission] and the French forces supporting it".
The UN force, she added, had "interfered seriously in the internal affairs of Ivory Coast".
Mr Ban responded with his own statement saying the UN mission "will fulfil its mandate and will continue to monitor and document any human rights violations, incitement to hatred and violence, or attacks on UN peacekeepers".
Earlier, the UN said one of its patrols had come under fire as it entered the mission compound in Abidjan, the country's main city.
Sanction threat On Friday, opposition supporters were arrested in Grand Bassam, about 30km (20 miles) east of Abidjan, and there are reports of several people being killed there.
A day earlier at least 20 people were killed in clashes between Mr Ouattara's supporters and the security forces.
The UN Security Council has warned that all sides will be held accountable under international law for any attacks against civilians.
The United Nations, the US, former colonial power France, and the African Union have all called on Mr Gbagbo to stand down.
French President Nicolas Sarkozy on Friday said he should quit by Sunday or face EU sanctions.
But Mr Gbagbo says the election was rigged by rebels who still hold the north after the civil war in 2002-03.
He was declared the winner by the Constitutional Council after it annulled votes in parts of the north.
Tensions have been building between Mr Gbagbo and the UN mission since it decided to recognise Mr Ouattara as the winner of the election.
A peace deal signed by all sides gave the UN a role in certifying the election results.
UN peacekeepers are currently defending the lagoon-side hotel that shelters Mr Ouattara's opposition government.
The UN's radio station Unoci FM is one of the few alternative news sources for Ivorians, after opposition newspapers were banned and many foreign news channels taken off the air.
Non-essential UN staff have already left.
 
The situation is getting worst...kwa nini Qattara asimuachie Gabgo aongoze for the sake of wananchi? itamsaidia nini nchi ikiiningia kwenye machafuko? na yeye pia ana uchu wa madaraka.

Huo ni usaliti aongoze kwa ridhaa ya nani?
 
Hivi hadi lini Africa itaondokana na dhana ya kuwa Dark Continent? na ni kwanini watu wengine ndio wanaona kama wao ndio viongozi wa wengine maisha yao yote, hata kama wanaowaongoza hawawataki tena? Gbagbo, Mugabe, Bokassa, Mobutu name it.. wanazidi kuitia doa Africa, halafu tukiambiwa waAfrika ni sub species ya binadamu na tunaendelea ku evolve tunabisha! sasa kwa mtindo huu ni lini wazungu wataacha kututukana kama sisi wenyewe ndio tunajitukanisha namna hii!
 
KAMA Gbagbo hakuwa tayari kuondoka madarakani, kwa nini aliruhusu kura ipigwa? Haya ndo tunayaona hapa Tz wakati wa uchaguzi uliopita na sasa kwenye mchakato wa Mameya! Hiyana hiaya hiaya! Watu wengine hudhani watatawala milele, wamezaliwa kutawala daima! What a shame

Shame on You Gbagbo na wanaokuhusudu wote ndani na nje ya Ivory Coast
 
Inasemekana jamaa kanunuliwa na whites kumtangaza Quattara mshindi. Wazungu wana maslah yao binafsi na ndio maana wameng'ang'ania Gabgo atoke manake hawamtaki...kwa nini hawa International forces waelemee upande mmoja tu??
Tuna uhakika gani kuwa Qattara ni mshindi halali wa uraisi?
Alitanganzwa na tume iliyosimamia uchaguizi
 
Gbagbo na washirika wake wajue kuwa Ushahidi unakusanywa polepole na kama itazuka vita ya wenyewe kwa wenyewe ajue The Hague inawaita. Yaani kwa sasa Gbagbo hana upper hand mauji yoyote ajue yatahusishwa na yeye. Na asipoangalia atakamatwa kama ndege tunduni very soon.
 
Back
Top Bottom