Freshthinking
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 621
- 108
Kundi la Masalia linapumulia mashine.Hata mkibadili ID mara ngapi tutawajua tu.
Tufanye sawa ni masalia na nimebadilisha ID kwa idadi ile unayoitaka wewe. Sasa tujadili hoja ikiwa ya kiuuzi achana nayo.
CHADEMA ni chama cha DEMOKRASIA sawa? Utaratibu wa CDM katika uteuzi wa wagombea ni upi? Kama Mbowe alichokifanya ni sehemu ya utaratibu, sema hivyo. Kama sio utaratibu pia unatakiwa kutamka hivyo. DR Kitila Mkumbo na Pro Baregu wamesema hawana uhakika kama Mbowe amesema kweli. Hii inamaanisha ikiwa amesema kweli, wanakwambia kuwa MBOWE amekosea. Kuweni majasiri wa kusema ukweli. Hizi zama tulizo nazo tunahitaji Freshthinking ili taifa lipige hatua.