Hahahaha.......haya ndo mabreaking newz ya gazeti letu bana!
Hatimaye siri yafichuka; Yabainika ugonjwa wa daughter kaambukizwa na PAW. Yasemekana kondom ilipasuka wakati daughter akiyakata mauno.
TANMO amwaga chozi live akiwa ofisini..ni baada ya kukuta PM za kimapenzi za mwanaume mwenzake kwenye account ya First Lady waliyokuwa wanashea password..First Lady mwenyewe ahojiwa na kujibu kwa nyodo eti TANMO alitaka mwenyewe kushare passwords..Sijui nini agombea penzi la mke wa mtu..
fais buku afumaniwa tena
mia
Kwenye Red hapo Hii ni wapi naona nilahisi kutumia!aiumizi ulimi!yaani hii thread imenibamba sana,arante TANMO