Gazeti letu la Udaku JF..

Dadadadeki!
Nikajua umeniandika kwenye mgazeti wako, ingekukostije?

Mkuu ile skendo yako ya kulawiti Mbuzi wa jirani yako siwezi kuiandika Bana, si unajua tena mimi na wewe ni ndugu...
 
Mkuu ile skendo yako ya kulawiti Mbuzi wa jirani yako siwezi kuiandika Bana, si unajua tena mimi na wewe ni ndugu...

Honored.
You owe me a chum, nikupe hapahapa au kule kwenye thread?
 
Mkuu mimi ni kidume mwenzako Bana, lisevu tu hilo chum lako kwa matumizi sahihi huko mbeleni..

Acha uoga mtoto wa kiume, yaani unaogopa chum? Sogea nikuguse na kidevu chenye visiki-visiki, acha uoga kijana.
 
zomba ahamia Yanga..
Rejao aonekana kwa Mwalimu Doroth wana JF wamuonya sana kuhusu yaliyowapata wenzake yeye adai ni Dada yake na Wanatoka naye kijiji kimoja Moshi
 
Last edited by a moderator:
Mphamvu amtokea TANMO, atangaza ndoa
hahaha,udaku wa mwaka a gazeti halikawii kumwanahalisiwa
 
Last edited by a moderator:
Machalii wa Arachuga wamtaiti Ruhazwe JR kwa kumdhalilisha master wao Erickb52, wamembeba wanguwangu kumpeleka UNGA LIMITED nguo zake zote zakutwa maeneo ya RELINI walikompeleka ha2jui, kilichoendelea hatujui.
 
Last edited by a moderator:
lara 1 CHOKA MBAYA AHAMA NJIRO SASA ANAISHI UNGA LTD
 
Last edited by a moderator:
avatar ya FP yazua kizaa zaa, yamtoa mate mzee mmoja almaarufu wa MMU.

Je, wataka kumjua aliyehonga benzi la ikulu kwa kubembeleza penzi la FP?

Uk 213546855646564656421369876321

wapi mama FP
 
Last edited by a moderator:
BREAKING NEWS!!!!!!!!
Miss chit chat November Ciell aopolewa na Muuza samaki wa Mwanza.
- Amuhaidi kumpa boti mbili na mitumbwi sita
- Akatiwa tiketi precision kuja mwanza
 
Last edited by a moderator:

hahahaha Ndio maana nakuona pale bamaga kwa shigongo.... kumbe mtaalam wa udaku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…