Angalia hii comment hapa nimeeibua kulee kwa yule anayejisifia kwa viwili mfululizo
pole na kuachika!Kaizer bana hata wake za watu hawaogopi,lol!
Khaaa!!! (B' sema wajua Kaizer hayupo unajua sina jinsi ya kujitetea... I am counting days he will be back na atawakilisa) Mkataba wa ndoa yetu unaisha tarehe 29 december this month. lol
Niko kama avatar yangu
nanyonya na kunyonywa
hahahah...bishanga bana....could it be kwamba kuna watu wanasubiria kama fisi anavosubiria mkono wa binadamu udondoke? watasibiri sana lol
I back sweetie...huu ni UDAKU na upo kwenye UDAKU so utabaki kuwa UDAKU...lol:hug::hug:
lol!sana au kidogo tuNiko kama avatar yangu
nanyonya na kunyonywa
udaku huwa unaanzia kama uwongo baadaye kuna kuwa na kaukwelidanganyaneni!
Lisemwalo????
kugundua jinsia ya kuongosho ni ishu lingineImebainika kuwa Kongosho ala BAN kwa kujichanganya jinsia mara me mara ke
Nakimbia kama Ashadii. nalog off
kugundua jinsia ya kuongosho ni ishu lingine
TB na maujanja yake yote alikamatika? lol basi Kongosho yupo vema!muulize theboss alidate naye,
baada ya date theboss alipotea humu jamvini kama wiki moja nzima,
karudi mpole kama amenyeshewa mvua.
TB na maujanja yake yote alikamatika? lol basi Kongosho yupo vema!
i love you so very much baby rejaoHapa navizia post ya 1000!
Thanx darling...I love you too! Tuwe makini..kumbuka hapa tupo kwenye lisredi la Udaku! Tuangalie wasipate cha kuandika!!!i love you so very much baby rejao
i love you so very much baby rejao
Thanx darling...I love you too! Tuwe makini..kumbuka hapa tupo kwenye lisredi la Udaku! Tuangalie wasipate cha kuandika!!!