klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,147
Khaaa, hivi kumbe bado sijakutambulisha eeh? Nilifikiri shemeji langu uporoto amekupa taarifa! Sorry swahiba sijachelewa sana. Tunatarajia kufunga ndoa kwenye mkesha wa x'mass. Naimani mtakubali kuwa wasimamizi wetu wewe na uporoto! Ukiona mtu anammendea nistue nije na viwembe!
Hahaha.... Jamani darling umeanza kuntengua mbavu mwenzio, staili ya kuvamia bengazi ndio ipi tena?...lol.umeniona eeh! mzembe nina manyota mpaka kwenye zipu za suruali. Leo nikirudi tutapiga kiduku kwa style ya "kuvamia bengazi" (huu si udaku ni kweli)
Tehe, tehe, tehe!.. Hawajui, waache waendelee kukodoa macho kwenye gazeti la udaku, wenzao tupo stage two... Lidumu milele penzi letu...heheeh hawajui kuwa hili gazeti la udaku wengine limetusaidia kupata mchumba. Honey! jana nimekuona kivuli chako kwenye povu la shampoo bafuni.
Khaaa, hivi kumbe bado sijakutambulisha eeh? Nilifikiri shemeji langu uporoto amekupa taarifa! Sorry swahiba sijachelewa sana. Tunatarajia kufunga ndoa kwenye mkesha wa x'mass. Naimani mtakubali kuwa wasimamizi wetu wewe na uporoto! Ukiona mtu anammendea nistue nije na viwembe!
Hahaha.... Jamani darling umeanza kuntengua mbavu mwenzio, staili ya kuvamia bengazi ndio ipi tena?...lol.
Hauoni sweetlady kanenepa! mzembe nimemrusha shopping botswana
udaku ni habari ambazo hazijasibitishwa rasmi, nikiangalia hapo itakuwa sio udaku tena. Lol. Naomba unipe udaku mpya wa klorokwini.ukitaka kujui jinsia yangu si uangalie avatar yangu hapo..!?
Usimsifie sana shemeji ako bana, nna wivu nae sana swahiba....nashukuru kwa kukubali kunsaidia kumlinda...naona swtlady kanenepa kucha na nywele. Shemeji wajua kutunza wewe.
Sawa baby, nimekuelewa..!Tukiiweka hazarani wazembe wataiga. Think! honeythink
Na bado, atanenepa mpaka meno, sisi ndo ma lonado di caprio wa bongo bananaona swtlady kanenepa kucha na nywele. Shemeji wajua kutunza wewe.
superman na husninyo wazua varangati bar...ni baada ya superman kujidai predeshee na kumpeleka husninyo bar kumbe jamaa hela zenyewe chenji za madafu..matokeo yake husninyo kaagiza vitu vya bei mbaya na kuingia mitini kinyemela..jamaa kushtuka bili yaja laki 6..yasemekana superman alikuwa na buku 9 tu mfukoni..ndipo mabaunsa wa bar hiyo walipoanza kumla mande ....
Usimsifie sana shemeji ako bana, nna wivu nae sana swahiba....nashukuru kwa kukubali kunsaidia kumlinda...
Kamanda salama kabisa...dah watu wameniandama na skendo kibao kweli hii sredi itabidi nipeleke polisi waandishi wote wa udaku...TF niaje Kamanda?
Nikisoma hivi vichwa vya habari vya kubuni naona hujakaaa vizuri. Ni salamaaa au Vifuu Tundu tu?
Jibaba hili sredi kitaa dah...watu wote wananiandama kweli kudadekii lazima nimlie timing TANMO nimng'oe masaburi..lolNa bado, atanenepa mpaka meno, sisi ndo ma lonado di caprio wa bongo bana
No,! no! honey wataka nife kwa kisukari au? Mwambie amPM The Finest yupo single bana...Ka shemeji kameniPM kanaomba hela ya vocha, nikapatie?
Umefanya uamuzi wa busara sana kuachana na ze finest, mtaji wake wa kuku umevamiwa na mafua ya kuku, sasa anaishi mjini kwa mikopo tuSawa baby, nimekuelewa..!
Ka shemeji kameniPM kanaomba hela ya vocha, nikapatie?
Ujauzito wa Dena Amsi mashakani:
Yule mwanadada anaesifika hapa jamvini kwa kurekebisha lugha ya kiswahili leo amekimbizwa hospitali kwa kile kinachofunuliwa kuwa kilitokana na kichefu chefu cha mimba, swahiba wa karibu wa mdada huyo anaekwenda kwa jina la Wiselady amefunuka kuliambia gazeti hili kuwa Dena Amsi alishikwa na kichefu chefu na kizungu zungu na akavuta chupa aliyozani ilikuwa na juisi ya ukwaju bila kujua kumbe ilikuwa chupa ya detol. Habari kamili UK wa 5
halafu wewe Husn wewe usitake kuniharibia ndoa,hivi niko kitandani na Eliza wa tegeta tunasoma post zako,shauri lako atakwendea pemba.inasemekana bishanga ndio member mwanaume anaeongoza kwa kukaribisha members wanawake kwa njia ya pm. Katavi ni katibu wa bishanga katika hiyo biashara ya kukaribisha wageni.
Jibaba hili sredi kitaa dah...watu wote wananiandama kweli kudadekii lazima nimlie timing TANMO nimng'oe masaburi..lol