Gazeti letu la Udaku JF..


Chanzo chetu cha habari kinaendelea kupasha kuwa kijana huyo ajulikanae kama MTM, amekua akumpa supply ya maana ya msuba King'asti kwa bei ya jumla na hivyo kumuwezesha kuwa HI wakati wote. Inasemekana King'asti pamoja na familia yake wamekusudia kuanzisha kesi mpya baada ya hii ya tanmo kuisha kwa mnajili wa kuharibiwa akili na kusababishiwa usugu wa ulevi huu wa msuba. Hata hivyo MTM alipohojiwa na chanzo chetu alionekana kujitetea kuwa badala ya kuonekana kama amesababisha madhara actually amekua akimsaidia king' kuchaji akili yake kwa haraka zaidi.
 

Wikileak wetu huyo aliendelea kulithibitishia gazeti hili kuwa kijana huyo ambae amediriki hata kuvumbua upishi wake wa kipekee wa "pilau ya bange" na salad ya mirungi alionekana kujiamini katika matumizi ya "kijiti haramu" na huku akifafanua uvutaji wa bange kwa mitindo tofauti ambao aliubatiza jina la "kamasutra ya majani".
Bado gazeti hili linafukunyua uhusiano uliokuwepo baina ya King'asti na kijana huyo MTM baada ya wawili hao kuonekana wakiwa "hi" pamoja maeneo ya jukwaa la wakubwa almaarufu Jukwaa la Funzadume
 
Eliza ameolewa?sidhani aisee,namzimia kinoma,yaani hasira zake zinanipa mhemuko ni hatari!
Kesi nzima alio anza si sababu kaibiwa mume over PMs na wanawake wa JF? au umesahau?
 
habari kamili:
polisi mjini bukoba wameripoti taarifa ya fumanizi,wakieleza tukio zima wamesema dada mmoja ajulikanaye kwa jina la SL amefumaniwa hotel ya kolping akiwa na mme wa mtu aitwaye TF,katika sakata hilo bi SL inasemekana aliokolewa na mfanyabiashara maarufu Bishanga ambaye alimchukua na kuingia naye chumbani kwake hoteli jirani ya walkguard,taarifa kamili baadae.
 
Senetor adisco udsm,sasa ala matapishi yake,aomba admission TEOFILE KISANJ UNIVERSITY..
 
RR asema hataki kuwa single tena ingawa wakati mwingine maisha ya kishikaji yanampa raha na maumivu,anaishi maisha ya kisela,akiri roho yamwuma pale anapoona PM kwa mwingine wakati alishapenda.
 
isije kuwa kweli
 
yaani na wewe nakuunganisha kwenye kesi ya udhalilishaji!
 

Katika hali inayoonyesha wazi kwamba mwanasheria wa JF hajapona vizuri tangu akimbiwe na mkewe kwa uzushi, klorokwini amekuja na mpya kabisa inayohusisha pilau ya mneli na saladi ya mirungi kwenye jamvi; huku akionyesha wazi kuchanganyikiwa na kutoa kauli zisizo na mpangilio maalumu, Kloro alijitahidi kuhusisha mwanakwaya maarufu toka kawe, mng'angati mmoja wa boay na matukio ya uvutaji misuba.... jambo ambalo gazeti hili limegundua kwamba kale ka ugonjwa ka uzushi bado kapo kwa ndugu yetu kloro pamoja na dawa mbalimbali za kimalawi anazotumia
 

Kufuatia skendo ya kutumia mneli kama dozi: King'asti aibuka, adai MTM ndiye anayemnunulia mineli,
adai hawezi kumaliza lisaa bila kupiga msokoto mmoja,
aanza kuchemsha mneli na kuula kama mboga
 

Kufuatia kesi yake ya ku supply Mineli: Yasemekana Loya Klorokwini ni miongoni mwa wateja wa zuri wa Bhange za MTM
Yadaiwa kuwa MTM Bhange zake zina ubora wa kimataifa
waandishi wetu Lizzy na sijui nini wamtafuta MTM ili kuhakikisha kama ni kweli hizo Bhange zina ubora unaosemwa, :eyebrows:
Ripoti kamili kwenye toleo lijalo.
 
Bishanga Abashaija ajivunia ukidume wake: adai alianza mapenzi kabla hata hajazaliwa

TANMO amparamia kondoo malishoni,wafugaji wenzie kina bujibuji na eiyer wamkamata na kumpeleka polisi post,yeye adai mganga wake aspirin ndo alimwagiza amwingilie kondoo ikiwa ni sehemu ya dawa ya kupata utajiri.
 
Ashadii apigwa talaka tatu,kisa? Mmewe ambamba gest na Kaizer. Shemeji shemeji kumbe wazima taa!habari zaidi soma uk wa nne.
 
Lizzy alazwa ICU muhimbili,kisa mshtuko baada ya kusikia Eliza wa tegeta na bishanga abashaija wamefanya kweli na kufunga ndoa kwenye kanisa la mzee wa upako,matron alikuwa faiza foxy na best man mzee DC.
 
Sweetlady aibuka na sharobaro la kigamboni, Penzi lao la wizi laanikwa mitandaoni


Gazeti letu limefanikiwa kuunasa ule mkanda wa faifu star unaomuonesha sweetlady akijivinjari na sharobaro wake wa kigamboni. Starring wa habari hii ambae alilitaka gazeti hili kutokuweka jina lake hazarani alilipatia gazeti hili kopi moja na kulisibitishia gazeti hili kuwa mkanda huo umezagaa kila kona za jiji likiwemo soko la kariakoo, Gazeti hili lilivuta uzi kumuendea sweetlady hewani lakini alionekana kukosa ushirikiano na kujibu kitarabu tarabu "Na mtasema sana" halafu alikata simu kwa kumalizia na kicheko cha pwani.

Shuka na fulu mkanda wa sweetlady

 
Last edited by a moderator:

baada ya kufuatilia sakata hili la bhange za MTM kwa kutumia njia za kiintelijensia,imegundulika ni kweli loya klorokwini ni mteja mzuri sana wa bhange hizi, inasemekana anajulikana kama mmoja wa wateja VIP wa MTM,wengne waliotajwa ni figaniga na bujibuji ambao hawakuonyesha kukataa wala kukubali pale walipoulizwa juu ya habari hii..pia imegundulika kuwa loya MTM amekuwa akitumia msuba huu kama kipashio kabla hajaendesha kesi yoyote mahakaman kitu ambacho kimekuwa kikilalamikiwa na watu wake juu ya maamuz ayatoayo wakat wa kesi..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…