Gazeti letu la Udaku JF..

Rejeo alipoulizwa na waandishi wa gazeti hili hakutaka kuongea ila alionyesha masikitiko makubwa na kutoa tone la chozi
huku ameinamisha kichwa chake,ila alisema maneno mawili kuwa jirani yake anayeitwa klorokwini ndo chanzo cha huo ugonjwa
ambao unatokana na imani za uganga wa kienyeji.
Pamoja na hayo paparazi wa gazeti hili alimfuata klorokwini kwake na kabla hajafika nyumbani alimkuta klorokwini njiani
kwenye vumbi kali akitafuna mahindi ya kuchoma.
 

hahahahahahahahaha! Hili gazeti lishaniharibu viungo vya mwili.
 
natangaza kuacha kazi jf udaku...naenda kufungua kampuni yangu huko science, gadgets and technology..

Kama wanalipa vizuri nitafutie na mimi basi.

Tumepata taarifa zisizo rasmi hivi punge kuhusiana na sakata la wakuu wa JF publication, Invisible, PAW, Fang na wengine ambao hatukupata majina yao. Wamaind mhariri mkuu TANMO kuanzisha gazeti la udaku. Waogopa skendeli zao zitajulikana.Wakimbia mji, RR aachiwa ofisi.
 
"Najiuzulu na kumkabidhi madaraka yote Faiza Foxi" asema Invisible baada ya kushtakiwa mahakamani na members wa JF.
Tamko hili limetolewa baada ya Invisible kubonyeza kitofe special cha "mwaga PM zote jukwaa la jokes/utani/udaku", kitofe ambacho kinaonekana kwa founders na admin peke yao.
Akijibu kwa niaba ya Jf Members Klorokwini alisema kua ni uzembe na ujinga, jambo ambalo lilimfanya Pain Killer kumlamba Ban ya siku 7: Crisis hii sio sababu ya kuleta matusi Jamvini, alisema Mod huyo akihojiwa na JF Udaku.
Hali kwa sasa ni tete maana imegundulika kua baadhi ya siri silizo andikiwa kama Jokes katika thread ya Tanmo ni ukweli mtupu!
 

ahahahaah!!Kufuatia mkasa huo, Bujibuji aapa kumfanyizia The Finest!
 
JF UDAKU HATARINI KUFA..!?? utata mkubwa kwenye uongozi wake...Ma MOD's wote waja juu baada ya habari zao za kutembea na members kuanikwa..TANMO kuwekwa kitimoto..waandishi wengine wakimbia ofisi..Roulette aingilia kati...watu wahisi ndie aliemuwashia moto TANMO ili kumpindua na kuendesha yeye gazeti..!!
 
Mambo hazarani: Hatimae Lizzy athibitisha kuwa anatoka kimapenzi na klorokwini, Sweetlady aamua kumeza panadol sita kujiuwa
Klorokwini achezea kichapo toka kwa uporoto, ni baada ya kufumaniwa Namnani gesti hausi akiwa na Husninyo....


The Finest akiri kumtongoza kongosho, ni baada ya kubanwa vilivyo na The Boss...
 
Klorokwini achezea kichapo toka kwa uporoto, ni baada ya kufumaniwa Namnani gesti hausi akiwa na Husninyo....


The Finest akiri kumtongoza kongosho, ni baada ya kubanwa vilivyo na The Boss...
Khaaaa!!! Wewe tuna skendo zako nyingi tu subiria Klorokwin azimwage hapa halafu na mimi nitazimwaga zangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…