sijui nini
JF-Expert Member
- Sep 29, 2010
- 2,553
- 1,293
Gazeti lenu la JF udaaku mlipendalo leo liko mtaani na habari motomoto.......
Klorokwin akamatwa akipiga chabo watu wakibanjua amri ya sita ajitetea asema ni moja ya staili zake za kupandisha mzuka akirudi kwa mke wake....
Asprin akamatwa juu paa la mwenye nyumba wake akiwanga mchana kweupe yeye asema alikuwa akiangalia kama mabati ni chapa Simba....
Fidel akamatwa akiwa uchi huku akiwa ameshikilia Jogoo asinginzia Joto ndio lilimfanya avue nguo...
Kongosho akamatwa akimbemenda Bujibuji
Yagundulika pedesheee aliyekuwa akimuweka mjini Husninyo ni Mwanakijiji, awakimbia waandishi wa habari na kuacha visigino vyake..
Lizzy ashikiliwa na polisi kwa kuiba pedo kwenye duka AfroDenzi
TANMO azua kizazaa msikitini baada ya simu yake kutoa mlio ambao haukutegemewa
hahahahaa......rejao na mwita kupandishwa kwa pilato kisutu kujibu shutuma za kusoma PM za afrondezi.......
Hahahahah:hat:.....Babu aspirin abambwa huku akiwa kavaa sun glass anaangalia kuku wakisex, chanzo chetu kimenyetisha
Lohhh, nyie watoto hamna shangazi zenu wakuwatania?
Khaa! Ndo nini kuweka siri zetu hapa?View attachment 42923
Mpiga picha wa JF Udaku awanasa Asprin na Fidel wakisataka rhumba maeneo ya kwa Eliza wa Tegeta
ahahaaaaaaaaaa acheni bana mbavu zangu mie nalog off jamani eehhhhhhhView attachment 42923
Mpiga picha wa JF Udaku awanasa Asprin na Fidel wakisataka rhumba maeneo ya kwa Eliza wa Tegeta
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaView attachment 42924
Sijui nini aanguka na kuvunjika mgongo wakati akimpiga chabo dada wa watu akifua nguo
hahahahaaaaa....guh...mwanangu huyu jamaa noumaa...dah...staili gani hii...!!??View attachment 42924
Sijui nini aanguka na kuvunjika mgongo wakati akimpiga chabo dada wa watu akifua nguo
View attachment 42924
Sijui nini aanguka na kuvunjika mgongo wakati akimpiga chabo dada wa watu akifua nguo