Gazeti letu la Udaku JF..

Khe..jana nimelala na cm mkononi,matokeo yake ndo naamka nayo JF bado nipo online,maji ya kuoga mpaka yanapoa sasa(si unajua huku kwetu nyanda za juu kusin barid yake na mvua hizi)..nimeamkia kusoma post nilipoachia ucku bt naona cfiki mwisho..kha ngoja nikaoge kwanza..
 
Mpita njia apitiwa na usingizi kwenye Daladala, ashtuka wakati gari limefika Mbagala, na yeye alikuwa anatokea Mwenge kuelekea Kinondoni Studio kuwahi Intavyuu..
TANMO amvaa mtalaka wake ofisini, amwachia mtoto mezani
 
Kongosho akesha akivizia post ya 400, sijui nini ampiku baada ya kukodi kamati ya ufundi toka Zambia

Aapa kukata rufaa TFF au mahakama ya kibiashara pale move n pick
 
Hahahaha!! Inkoskaz
 
Hahahaha!!!!
 
hahahahaa......rejao na mwita kupandishwa kwa pilato kisutu kujibu shutuma za kusoma PM za afrondezi.......
 
* Yule mlokole anayeitwa MAYASA asakwa na polisi.RB/KNN135/WZ09/2011.
*Ni kesi ya kuiba mme wa KONGOSHO.
*Mnyetishatishaji kasema ni kweli MAYASA walikuwa na THE BOSS mamaland centre saa saba za usiku.
*kamanda wa polisi wa kanda maalum ACP.UPOROTO01 kathibitisha kupokea malalamiko.
*gazeti udaku la jf lina picha wakiwa bafuni uchi wa mnyama. * THE BOSS apiga mikwala waandishi wetu, adai atawatoa mshipa.
*MAYASA agoma kuongea asema yote anamwachia Mungu.
mia
 
Mwanakijiji aja na tknolojia mpya ya kutema mate juu ili MMU ifungwe, inasemekana ujuzi huu kaupata Norway accidentally alipokuwa kaenda kujifunza masuala ya uanguaji mayai ya samaki bila kuharibu mazingira

Mkuu hapo pekundu tema mate isitoke naomba. lol
 
1 ) Sio kawaida yangu Njiwa Mimi Kuruka Mida Ya night kali ... ilibidi nifanye hivo nikatua viwanja kanga moko ndembendembe:eyebrows: Premium member Flani na Pia Mchungaji Maarfu humu JF Akutwa kajiachia akishangilia huku shati mkononi... aliposogelewa na Mwandishi wetu Ang`aka na kuvunja kamera - endelea ukurasa wa 5 ...

2 ) Uncle Rukus aweka Vipimo vya HIV wazi Asemea Wazushi Mwaka Huu Mjinyonge -endelea ukurasa wa 7

3 ) DUH AMINATA!! - picha ukurasa wa 6 ...
 

Aya ya ya ya ya yaaaaaa.................Duh!!!!!!!! afadhali imekuwa ni mara kumi tu, mie nilidhani itakuwa zaidi ya hapo...............LOL
Ngoja ni Log Off kabla Mama Ngina hajasoma hii maneno........................
 
Licha ya nyumba yake kuzingirwa na mafuriko, mhariri wa JK Udaku agoma kuhama Jangwani
*Asema amezaliwa hapo na atafia hapohapo
 
Mzee Mwanakijiji AOKOKA!!! adai amechoka na maisha ya kutamanishwa na kina dada wakiwemo lizzy na smile halafu hawampi!!
 
* Vipimo vya UKIMWI vya MZEE MWANAKIJIJI na ELIZA WA TEGETA hadhalani.
*MZEE MWANAKIJIJI ALIA NJIA NZIMA.
*ELIZA WA TEGETA asema majibu haya aliyategemea kutokana na tabia yake na yaMy husband wake.
* jf udaku imepata copy ya majibu.
*MZEE MWANAKIJIJI asema analia kwa furaha na Kuongezea Mungu mkubwa.
*jf udaku imepata card ya mwaliko ya sherehe ya wawili hao ya kujipongeza itakayo fanyikia ukumbi wa WATER FRONT. mia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…