Hahahahaha, Lizzy acha hivo, maana kweli swali la kutopewa like liko moyoni muda mrefu. hahahaHayawi hayawi yamekua, RussianRoulette avuliwa uMOD baada ya kugundulika kupiga ban wale wasiompa LIKE.Invisible anena, asema watakua waangalifu katika uchaguzi ujao.
Mwandishi wa UdakuJF anaekwenda kwa jinala TANMO aumbuka. Ni baada ya kutaka kumhonga rafikiye Lizzy pesa ili amuuzie skendo, hakujua Lizzy alikua akirekodi maongezi yao.
Klorokwini atua bujumbura, barabara zafungwa na wanafunzi watolewa mashuleni kwenda kumshangilia
Hahahahaha, Lizzy acha hivo, maana kweli swali la kutopewa like liko moyoni muda mrefu. hahaha
TANMO, Ritz, Sijui nini, Lizzy, Husninyo aisee ngoja kwanza nitoke kwenye hii thread kwa muda almanusura nianguke kutoka kwenye kiti kwasababu ya kucheka hizi skendo na udaku...nyie watu hamna adabu kabisa...lol
TANMO, Ritz, Sijui nini, Lizzy, Husninyo aisee ngoja kwanza nitoke kwenye hii thread kwa muda almanusura nianguke kutoka kwenye kiti kwasababu ya kucheka hizi skendo na udaku...nyie watu hamna adabu kabisa...lol
Hatimae imebainika kuwa husninyo anatoka na daktari wa mitishamba anaewika mjini kwa jina la mzizimkavu, Uporoto apotea katika mazingira ya kutatanishawadada waweka mgomo wa kutojibu pms za klorokwini baada ya kugundua wanaambiwa yaleyale. Klorokwini apoteza hamu na jf.
Mambo hazarani: Hatimae Lizzy athibitisha kuwa anatoka kimapenzi na klorokwini, Sweetlady aamua kumeza panadol sita kujiuwa
hahahaha! Mi mwenyewe nasepa. Nimegundua kadri unavyoendelea kung'aa sharubu ndio unavyozidi kujiongezea skendo.
Sijui nini agundulika kuwa na ID zaidi ya moja, ni baada ya kujifungulia thread na kuchanganya ID zake.
Husninyo afukuzwa kazi, mwenyewe adai bossi wake ambae ni mwanamke anamwonea wivu kwa kupendwa sana na vijana kazini.Aonyesha ushahidi wa vocha wanazomtumia.
Klorokwini amuuzia Lizzy skendo, adai wanapendana kama kumbikumbi.Lizzy akana katu katu, asema Klorokwini hana mpango.