Gazeti letu la Udaku JF..

Lizzy agoma kujibu skendo zinazomhusu, amng'ang'ania mwandishi amnunulie simu mpya ndiyo ashiriki mahojiano.

Mwandishi wa UdakuJF anaekwenda kwa jinala TANMO aumbuka. Ni baada ya kutaka kumhonga rafikiye Lizzy pesa ili amuuzie skendo, hakujua Lizzy alikua akirekodi maongezi yao.
 
The Finest, atapeliwa na demu wa Kizaire mitaa ya Kinondoni pale Katavi Hotel, mpaka kakosa nauli ya kurudi kwao Bonyokwa Chatu Dume, ndio kaokoa jahazi kampa nauli...lol
 
Lizzy utakuwa mchawi wewe...lol...yaani nasoma hii comment yako huku nasikia na message inaingia kwenye simu.

Fynest akubali skendo ya esiem'esi za mapenzi.Adai sio kosa lako kupokea maana hajawatuma wadada kujigonga kwake. Aapa kutorudi nyumbani mpaka mkewe amuombe msamaha. Alala gesti.
 
Kwa hesabu ya haraka haraka hadi sasa hivi wakina nani anaongoza kwa kuwa na skendo nyingi kwenye gazeti la udaku la JF?

The Finest aanza kuzipangua skendo zake kwa kutaka Mastaa wengine nao wachafuke, gazeti letu lamshtukia, agoma kupokea simu
 
Baada ya kumnasa kimapenzi Kigogo wa Serikali: Husninyo atishia kuwasweka lupango waandishi wote wa udaku, ahofia kitumbua chake kuwekwa mchanga

hahahahahaha! Tanmo umepinda sijawahi kuona.
 
The Finest aishi maisha ya kujificha: Yagundulika kuwa anakwepa kichapo kutoka kwa mkewe

sakata la The Finest kuishi kwa kificho: mkewe aamua kumkomoa kwa kuleta mwanaume ndani..yadaiwa ni TANMO mwanachama maarufu wa JF..TANMO mwenyewd akana na kuwakimbia waandishi..
 
tobaaaa! Baada ya tanmo kushindwa kufungua danguro aamua kuja na business idea. Yasemekana tanmo ni kijike ila kinajifanya kidume.

Baada ya TANMO kugomea penzi la Husninyo: Husninyo aapa ama zake ama za TANMO..
 
Pamoja na kuhongwa gari na Mod: Afrodenzi alilia penzi la El Toro

TANMO umenivunja mbavu my dear . Asante sana
Ningeomba MOD's wai stick hii thread ......
Best thread of the year in chit chat.
Big up TANMO.

Afro danzi afumwa akila uroda na Rejao

Kwa utetezi wangu haikuwa Uroda hahahah lol


afrodenzi alilia penzi lake na nyani ngabu asema watu wanamloga

Hapa sasa nikutoka nduki ..:bolt:

Waoh Merry X-mass n Happy New Year My GFF



Sante sana Sizinga nimeipenda sana .
Afathali we wanipa zawadi za xmass ..
Naona umeibadilisha BFF kuwa GFF
hahahahah haya bana. Nakuachia tu kwa leo






​
 
Sniper aumbuka, ni baada ya kujipendekeza kwa MODs ili asipewe ban.PAW asema haangalii sura.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…