Gazeti la Tanzania Daima limepigwa pini?

Rais wao angekua na katiba kama ya kwetu angeshafunga watu zamani. Anawaita enemies of the people mpaka vichaa wanataka kuwaua. Halafu leo wanataka kutufundisha sisi
Angalau yule anaheshimu katiba, ninyi je?
 
Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Si kweli Tanzania Daima halijafungiwa bali ni hali ya ukata ndani ya kampuni ndiyo umesababisha kukosa fedha za kuchapisha gazeti...Chanzo cha ndani ya kampuni
 
Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!

Kupigwa ' Pin ' huko kumekusaidia nini Wewe, Familia yako na Koo zako zote mbili Kuondokana na Umasikini mkubwa mlionao na uliowatukuka wa miaka nenda rudi?
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Sijawahi kukuelewa kabisa upo upande gani, nimeona post yako ya nyuma unapinga sana maazimio ya EU then sasa hivi naona tena kama unasupport maazimio ya EU.
 
Kuna jitu hapa Tanzania siku likufa maiti itatemewa mate kabisa!
 
Kwanza mimi kwa maoni yangu, hapa tanzania mchango wa wanahabari katika kuitumikia jamii kama serious media sijauona,zaidi ya kuwaona wachumia tumbo kazi kupishana kwenye makorido kila uchao kugombea vibahasha kisha kuingia mitamboni kuichana nchi, wanaandika utumbo tupu mfano *Duuh kimenuka.
*kudadek.
*Du konk...
Kwa kutumia hizo bahasha wanazopewa.

Ni 37% tu ya media zinazotulisha habari kwa haki.
Ahsanteni.
Wanataka tusome toilet tissue ya tanzanite
Cc: Mgambilwa ni mntu
 
Jaman msiwalaumu wanao shangilia unyanyasaji na dhuruma katika nchi hii.
Mara nyingine muwe mnaangalia viwango vya elimu yao.

Tafiti zimefanyika na majibu yakatolewa, wanaoshabikia utawala huu ni watu wa namna gani kielimu.

Mnaumiza vichwa buree

Mie nadhani uangalie kwanza wasioshabikia wana elimu gani. Ukianza na mwenyekiti wao
 
Asante kwa taarifa hii ni sheria kandamizi ya vyombo vya habari lakini wafahamu CCM haitatawala milele
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Umeongea kutoka rohoni
 
Sijawahi kukuelewa kabisa upo upande gani, nimeona post yako ya nyuma unapinga sana maazimio ya EU then sasa hivi naona tena kama unasupport maazimio ya EU.
Niko jf mwaka wa 10 huu, wakunielewa wananielewa.

Mfano siku zote nampinga rais Magufuli kwa udikiteta wake, lakini namuunga mkono kwenye vita dhidi ya ufisadi.

Mabaya nakosoa lakini mazuri napongeza.

Kwenye hili la EU siungi mkono rais wetu kushinikizwa, kupangiwa, kushurtishwa kufuata matakwa ya wengine.

P
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Kaka Pascal nimekusoma na kuna jambo nimeelewa vyema sasa kuhusu wewe ila nikutie moyo na ujasiri uendelee mpaka pale unapopaweza bila kujiweka matatani tikisubiri siku ya siku ya wengi kufurahi
 
Back
Top Bottom