Kuna issues ni mambo ya ndani, na mambo ya nje. Kama ilivyo kwenye mechi za ndani za Simba na Yanga, washabiki wa Simba au Yanga, wataishaghilia timu yao, na ikishindwa watasikitika kuwa ni bahati mbaya, na kujifariji kuwa japo wamefungwa lakini chenga wamewala.
Katika mechi za kimataifa, Simba ikicheza, mashabiki wote wa Simba na wa Yanga wanaungana kuishangilia Simba, the same applies to Yanga, hapa tunatanguliza mbele maslahi ya taifa.
Hivyo katika zile nyaraka mbili za EU na US, hawa ni mabeberu na wakoloni mambo leo against nchi yetu na rais wetu, hivyo uzalendo wa kweli ni kuipigania nchi yako dhidi ya mabeberu na wakoloni mambo leo.
P.