Gazeti la Tanzania Daima limepigwa pini?

Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
TUKO VIZURI Mkuu.
 
Mkuu unafaham kitu kinaitwa unafiki??? Ndo hicho ulichoandika, yaani unaumia halafu hausemi bali kusifia
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
ha ha ha, we Pascal ni mjanja mjanja, unakula na kupuliza.
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Binafsi sipendi tabia ya kufungia vyombo vya habari. Lakini na ninyi kina Mayalla baadhi yenu ni waandishi kanjanja muno. Kila kukicha udaku mwingi na kujipendekeza iwe CCM ama UKAWA. Nitafurahi sana hivi vijarida kama TANZANITE na hiki TANZANIA DAIMA na vinginvyo vingi vikifungwa maana hakuna tunachokiona zaidi ya udaku. Udaku uishie kwenye masuala ya jamii na siyo masuala ya msingi kwa jamii.
 
Mkuu Mbase, kidonge hiki ni kichungu, lakini hakuna jinsi, nimekichukua na kukimeza kwa sababu ni ukweli mtupu.
P.
 
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Tunakufa kimya kimya kama wakulima wa korosho
 
I can imagine...
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
 
Ila mbona Ijumaa kwenye uchambuzi wa magazeti,nikasikia lina habari kuhusu zile ghorofa za Magomeni Kota ambazo hazijaisha,kwenda mtaani kulitafuta nikalikosa,nadhani ule ulikuwa uchochezi
 
Jaman msiwalaumu wanao shangilia unyanyasaji na dhuruma katika nchi hii.
Mara nyingine muwe mnaangalia viwango vya elimu yao.

Tafiti zimefanyika na majibu yakatolewa, wanaoshabikia utawala huu ni watu wa namna gani kielimu.

Mnaumiza vichwa buree
Usidhani wote wanaoshangilia elimu yao ni ndogo, watanzania tunasifa ya roho ya kwa nini, tukiona tajiri anafilisiwa tunashangilia eti tutaheshimiana mjini kisa wote tuwe masikini. Sijui mliona wapi vipofu wawili wakainyeshana njia, we need to change our mind set. Tajiri akiwa mtanzania tunamchukia ila tunakumbatia matajiri wa nje na kwenda kuomba misaada kwa nini tusiombe misaada kwa masikini wezetu kama msumbiji au Burundi? Hivi ukiwa na shati mwenzako anayo matano kwa nini usitamani nawe uwe nayo matano badala ya kufurahia yule mwenye matano kunyang’anywa abaki na moja kama wewe? Magazeti yakiwa free tunapata muda wa kusoma na kuchambua habari lakini yakiwa filtered tunalishwa kile watu wanataka tusikie sasa hapo tunafaidika nini zaidi ya kuishi kwa kutokupata critical thinking katika magazeti yetu?
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.

Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Siku hizi sikuelewi mkuu
 
Back
Top Bottom