mzee wa mapesa
Member
- Jul 11, 2015
- 73
- 46
Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Sawa nafikiri tutabaki na gazeti la Tanzanite ambalo mhariri wake ni magufuriYes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Na wao soon watapigwa pin.Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Safi sana
Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.Yes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Wanataka tusome toilet tissue ya tanzaniteYes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Tunawatweet tu kweni kuna shida gani.Siku hizi pini kimya kimya, EU na US wasijue
Hii yote nikuogopa wasiandike yale maazimio 15 ya rafiki zetu mabeberuYes, habari ndio. Gazeti la Tanzania Daima tangu Ijumaa halipo mtaani. Yaani limepingwa pin!
Yadaiwa Dotto Bulendu kipindi chake cha Jicho letu ndani ya Habari pia kilipigwa pini. Mmiliki wa TV station kilipokuwa kinaruahwa aliulizwa tu "eeh! (Kwa sauti ya Mwanry).Duh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Manzoni tulidhani hawezi naona full ukandmizaji na kutoa ccm ni hadi 30 yes toka Leo maana hao wazu hu bana wakishaoewa machimbo watajifanya hawaoni ...watu wa Umri wangu na Oaskali hadi tufe ndo mageuzi YatafanikiwaDuh!, .. yaani hata baada ya zile nyaraka mbili za EU name US kuhusu media suppression bado wanafanya hizi makitu!. Anyway thanks kwa taarifa, hii sio new situation, tumeisha zoea tena thanks God mambo yanayotukuta sisi individual critical journalists, hatuyasemi, tunakufa tuu kizungu na tai shingoni. Ila hawa watu Mungu anawaona!.
Fungia Fungia Magazeti: Ni Udikiteta wa Serikali Magufuli, Yalaaniwa na Yasulubiwa - Jicho Letu Ndani ya Habari!. - JamiiForums
P
Maisha ni kama mduara au mdumange , wa mbele aende nyuma , wa nyuma aende mbeleNa wao soon watapigwa pin.