ITEGAMATWI
JF-Expert Member
- Jan 26, 2012
- 5,311
- 4,042
Weka basi link mkuu tujionee wenyewe!!
Wewe IQ yako yaelekea ni
ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye
post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.
Wewe IQ yako yaelekea ni ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.
JF ina active members zaidi ya elfu 50. Kudharau yanayoandikwa JF ni sawa na kudharau maoni ya jimbo la uchaguzi.
habari isiyokuwa na ushahidi ni vigumu kuiamini
operation linda mipaka ya nchi ianze. mia
am ready to volunteer to go in war against Malawi if it will happen........
IQ yangu ndogo ukilinganisha na ya nani? je aliimanisha nini?
hawa kupigwa lazima,hatuna jinsi
Hapo sioni kama nimetumia abusive language... But nashukuru sana kwa ushauri mzuri. Next this won't happen again..
Asante.
Wewe IQ yako yaelekea ni ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.