Gazeti la Nyasa Times la Malawi lailamikia JamiiForums

Status
Not open for further replies.
Malawi kama wanaigwaya jf tu, kweli wana ubavu wa kuvumilia hicho kichapo cha EL.
 
Inaonekana nao ni wasomaji wazuri wa jf. Na inawezekana wengine ni members. Tunataka kuwatahadharisha tena kuwa tutaigeuza malawi kuwa siria kama wataendelea na upuuzi wao!
 
Wewe IQ yako yaelekea ni
ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye
post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.

magamba bana utayajua kwa abuse language zao,sioni sababu ya wew kuabuse hapo juu....
 
JF ina active members zaidi ya elfu 50. Kudharau yanayoandikwa JF ni sawa na kudharau maoni ya jimbo la uchaguzi.

Indeed ZeMarcopolo...na JF kuna watu wengi tu wana akili zao timamu. Ila wana siasa wetu naona kama hawajang'amua imapct ya mtandao huu na sababu ya kuutumia ipasavyo zaidi ya walio wengi kujaribu kuupiga vita.
 
kwenye zile coment za online hata wao wanatukana sana...na wanatukana hata matusi ya nguoni..sasa watz wakijibu wanakuja juu!!! ..tutalifungia kabisa hilo gazeti la nyasatimes online....
 
Zomba, Rejao na Ritz kumi la mwisho ndio hili...vp hakuna mwaliko wa ftari?
Au mnataka mpaka niende vitani Malawi ndio muwaalike mashababi wenzangu watakaobaki?

Gang Chomba a.k.a haribu Jina jenga mwili...
 
Crashwise do not take it seriously. Neno la Rejao kwako halikuwa baya.....hasa ukizingatia ninyi ni watani wa muda mrefu mmoja ni ccyenu na mwingine na magwanda.. Wala usikasirike...alikuwa anatania!
IQ yangu ndogo ukilinganisha na ya nani? je aliimanisha nini?
 
hawa kupigwa lazima,hatuna jinsi

Nimesikia this morning kwenye briefing ya Magazeti kwamba serikali ya Malawi inayoongozwa na Mwanamke Joyce Banda imeufyata na kuondoa ndege zote zilizokuwa zinafanya utafiti wa mafuta kwenye Ziwa Nyasa!

Sina hakika kama kweli iko vile. Hata kama Mwanamke Joyce Banda hajafanya hivo,inabidi awaite Mawaziiri wake na hasa yule wa Ulinzi amwambie kuwa swala la kuondoa hizo ndege halina mjadala. Kucheza na mpaka wa Tanzania ni kujitakia matatizo makubwa kwa nchi yao ya Malawi!

Pengine tu napenda nimkumbushe Mama Joyce Banda na Waziri wake wa Ulinzi kuwa Tanzania tulipigana vita mwaka 1978/9 na nchi ya Uganda ikiongozwa na Nduli Iddi Amin baada ya kuvamia mipaka yetu. Yaliyotokea ni history. Kama Mama Joyce Banda anataka yamkute yaliyomkuta Idd Amin Dadaa basi Malawi waendelee na kucheza na mpaka wetu ndani ya Ziwa Nyasa. Tutapiga mpaka Ikulu baada ya kusambaratisha Jeshi lake.

Haya ndiyo matatizo ya kuongozwa na mijike inayofikiri kwa kutumia k****! Inasikitisha sana mwanamke anapotaka kuleta sijui maswala ya Beijing ya gender issues,gender equality na upuuzi mwingine kama huo. Mwanamke always hataweza kumpita au kuwa sawa na Mwanamme jamani. Ni maumbile ambayo The God Almighty ameweka, ni kanuni za Mungu ambazo huwezi kuzivunja hata iweje!

Kwa hiyo Mama Joyce Banda asitake kujipima nguvu na Wanaume ataishia pabaya na mwisho wake kama mwanamke itakuwa ni ku***** tu,basi!
 
Hapo sioni kama nimetumia abusive language... But nashukuru sana kwa ushauri mzuri. Next this won't happen again..
Asante.


Kwa kujazia ungeandika Kiswahili ungeeleweka zaidi mkuu sasa but na it wont happen again katikati ya Kiswahili unatufundisha nini?
 
JF hureeeey,JF juuuuuu.c malawi pekee wanaigwaya JF,bali hata majiran zetu wengi wanaigwaya hasa ukiwa huko kwao wakaona umeingia JF,wanakwambia ni noma.waheshimiwa wetu hapa ndo usiseme,wanatamani ingefungwa tangu jana kwani wanaogopa jinsi inavyoanika uozo wao.AM PROUD 2 B TANZANIAN,PROUD 2 B JF MEMBER.
 
Wewe IQ yako yaelekea ni ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.



We Jamaa nikionaga comment zako huwa nahisi BAN tuu Wacha nipite
 
Status
Not open for further replies.
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom