Gazeti la Nyasa Times la Malawi lailamikia JamiiForums | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gazeti la Nyasa Times la Malawi lailamikia JamiiForums

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by BondJamesBond, Aug 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. B

  BondJamesBond Member

  #1
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna JF member ambaye juzi alipatwa na munkari wa UZALENDO kiasi cha kutoa proposal hapa JF kuwa members wamtumie PM ali awape codes za kumwaga kwenye websites za serikali ya Malawi ili tuwaonyeshe kuwa tunaweza kushut down infrastructure zao etc kwa kutumia kitu kinachoitwa denial-of-service attack (DoS attack)

  Naona kwenye toleo lao la online wamelalamika kuwa online vigilantes (yaani JF members) wanatishia usalama na amani ya nchi yao kwa kutoa matamshi ya kuanzisha CYBER WAR

  Wameendelea kudai kuwa JF imejaa watu ambao hawaishi kumtukana rais wao matusi ya nguoni. Na pia wanasema kuwa wengine wamefikia point ya kudai kuwa wanayo majina na intelligence officers wa Malawi Tanzania.

  Thread jana iliondolewa lakini hivi kweli hawa jamaa wanagwaya kwa mikwara ya JF?

  Seriously?

  Kama kweli nawavulia kofia wazalendo. Mwendo mdundo.
   
 2. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #2
  Aug 9, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mkuu hapa kuna mambo makubwa sana yanatekelezwa, na siyo mkwara tu kama unavyodai...
   
 3. sembuli

  sembuli JF-Expert Member

  #3
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 762
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  gazeti la online la tarehe ngapi? tuwekee tarehe na website yake please ili tuone mantiki
   
 4. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #4
  Aug 9, 2012
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,589
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  JF ina active members zaidi ya elfu 50. Kudharau yanayoandikwa JF ni sawa na kudharau maoni ya jimbo la uchaguzi.
   
 5. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #5
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  mkuu naomba ni kukosoe jf ni zaidi ya jimbo..jf tumebeba mawazo ya nchi nzima..
   
 6. Globu

  Globu JF-Expert Member

  #6
  Aug 9, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 7,975
  Likes Received: 175
  Trophy Points: 160
  VIVA JF. Aluta Continua.
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Aug 9, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wewe IQ yako yaelekea ni ndogo sana. Unachomkosoa wewe na alichokimaanisha zemarcopolo kwenye post yake ni vitu viwili tofauti kabisa. Usipende kukurupuka.
   
 8. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #8
  Aug 9, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Aiseee!!!
   
 9. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #9
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Sasa Rejao,Umekosa neno bayana la kutumia badala ya kum undermine mwenzako kwamba ana IQ ndogo.Unajua kuipima?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #10
  Aug 9, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sorry, nimekosa kabisa neno muafaka cuz yote yaliyokuwa yananijia akilini machoni pa watu yangesomeka kama ni matusi. Naomba unisaidie neno muafaka.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Gracious

  Gracious JF-Expert Member

  #11
  Aug 9, 2012
  Joined: Jul 12, 2011
  Messages: 1,750
  Likes Received: 343
  Trophy Points: 180
  Ungemwambia tu maana anayomaanisha Zemarcopolo ni tofauti na maana uliyonayo wewe,Kwa nini utumie abusive language unnecessary? Sio tabia nzuri.Endelea na daku
   
 12. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #12
  Aug 9, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hapo sioni kama nimetumia abusive language... But nashukuru sana kwa ushauri mzuri. Next this won't happen again..
  Asante.
   
 13. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #13
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  IQ yangu ndogo ukilinganisha na ya nani? je aliimanisha nini?
   
 14. jingalao

  jingalao JF-Expert Member

  #14
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2011
  Messages: 19,388
  Likes Received: 10,555
  Trophy Points: 280
  ziwa letu lilindwe kwa gharama yoyote

  KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
   
 15. paty

  paty JF-Expert Member

  #15
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,256
  Likes Received: 166
  Trophy Points: 160
  weka link basi tusome iyo habari..toka kwenye gazet lenyewe
   
 16. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #16
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  habari isiyokuwa na ushahidi ni vigumu kuiamini
   
 17. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #17
  Aug 9, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  am ready to volunteer to go in war against Malawi if it will happen........
   
 18. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #18
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Kweli bwana,ebu weka link.
   
 19. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #19
  Aug 9, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Wafanyakazi wa NAPE lazima msaidiane kuwaweka sawa wanaowakosoa, hata kama hakina mantiki ilimradi mnadhihirisha uroboti wenu.
   
 20. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #20
  Aug 9, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Mkuu watu wanalilia link lakini mbona kimya?. Ila kwa uhakika ni kwamba Malawi inatetema kuanzia miguuni hadi kichwani. Hawaamini kama tunaiweza na tunaijua cyber war? Waendeleze chokochoko waone watapigwa kwanza kwa maneno (propaganda) kisha watu wanaingia.

  Anyway kama ni kweli wamesema hilo kuhusu JF basi I am proud to be part of JF.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...