Gazeti la Nyasa Times la Malawi lailamikia JamiiForums

Status
Not open for further replies.
Kuna JF member ambaye juzi alipatwa na munkari wa UZALENDO kiasi cha kutoa proposal hapa JF kuwa members wamtumie PM ali awape codes za kumwaga kwenye websites za serikali ya Malawi ili tuwaonyeshe kuwa tunaweza kushut down infrastructure zao etc kwa kutumia kitu kinachoitwa denial-of-service attack (DoS attack)

Naona kwenye toleo lao la online wamelalamika kuwa online vigilantes (yaani JF members) wanatishia usalama na amani ya nchi yao kwa kutoa matamshi ya kuanzisha CYBER WAR

Wameendelea kudai kuwa JF imejaa watu ambao hawaishi kumtukana rais wao matusi ya nguoni. Na pia wanasema kuwa wengine wamefikia point ya kudai kuwa wanayo majina na intelligence officers wa Malawi Tanzania.

Thread jana iliondolewa lakini hivi kweli hawa jamaa wanagwaya kwa mikwara ya JF?

Seriously?

Kama kweli nawavulia kofia wazalendo. Mwendo mdundo.

JF imejaa wataalam (Professionals) wa taaluma mbalimbali.

Huwa ninaogoopa sana kumunderestimate mtu kabla sijamfahamu hasa wanaotumia annonymus ID kwenye JF

Huyo mtu aloandika Huo uzi utagundua aliandika kwa Lugha ya kitaalamu (professional Language) means anajua alichokuwa anaandika

Pengine wengi wetu tulimchukulia kama mchangiaji wa kawaida tu hapa JF lakini mimi namtazama zaidi ya hapo.. Siku zote ninakanuni ya Kutilia shaka kila jambo kabla sijafanya HitimiSHO

Mimi naweza kumtambua kama Govermrnt Agent ambaye hakuandika kwa bahati mbaya Ila alikuwa kazini..Na kafanya kazi nzuri sana (kama ndivyo) coz hata propaganda sio lazima zifanywe na kutolewa kauli na viongozi wa serikali

Hii inaweza kuwa ilitumika kama njia ya kuwaonyesha Wamalawi uwezo wa Tanzania kama Taifa katika cyber war.. Na ukiona Adui yako kaanza kupata wasiwasi ujue Ujumbe umefika
 
Walikuwa wanajishebedua sana hawa wamalawi na matusi yao, watafute njia za kidiplomasia na siyo kuchezea Taifa la mwenzako kimasihala hivyo!
 
Acha dharau kwa wanawake wewe
au mama yako sio mmoja wao?

Nimesikia this morning kwenye briefing ya Magazeti kwamba serikali ya Malawi inayoongozwa na Mwanamke Joyce Banda imeufyata na kuondoa ndege zote zilizokuwa zinafanya utafiti wa mafuta kwenye Ziwa Nyasa!

Sina hakika kama kweli iko vile. Hata kama Mwanamke Joyce Banda hajafanya hivo,inabidi awaite Mawaziiri wake na hasa yule wa Ulinzi amwambie kuwa swala la kuondoa hizo ndege halina mjadala. Kucheza na mpaka wa Tanzania ni kujitakia matatizo makubwa kwa nchi yao ya Malawi!

Pengine tu napenda nimkumbushe Mama Joyce Banda na Waziri wake wa Ulinzi kuwa Tanzania tulipigana vita mwaka 1978/9 na nchi ya Uganda ikiongozwa na Nduli Iddi Amin baada ya kuvamia mipaka yetu. Yaliyotokea ni history. Kama Mama Joyce Banda anataka yamkute yaliyomkuta Idd Amin Dadaa basi Malawi waendelee na kucheza na mpaka wetu ndani ya Ziwa Nyasa. Tutapiga mpaka Ikulu baada ya kusambaratisha Jeshi lake.

Haya ndiyo matatizo ya kuongozwa na mijike inayofikiri kwa kutumia k****! Inasikitisha sana mwanamke anapotaka kuleta sijui maswala ya Beijing ya gender issues,gender equality na upuuzi mwingine kama huo. Mwanamke always hataweza kumpita au kuwa sawa na Mwanamme jamani. Ni maumbile ambayo The God Almighty ameweka, ni kanuni za Mungu ambazo huwezi kuzivunja hata iweje!

Kwa hiyo Mama Joyce Banda asitake kujipima nguvu na Wanaume ataishia pabaya na mwisho wake kama mwanamke itakuwa ni ku***** tu,basi!

Hata baraza la mawaziri wa dhaifu linaiogopa JF ka nini? moja alisema JF wakikukomalia wanaweka kilakitu hewani... viva JF tunasonga mbele!
 
We have well documented evidance and secret FILES of any Tanzania, Street lawyers, Doctors, even law makers. VIVA JF
 
Nimesikia this morning kwenye briefing ya Magazeti kwamba serikali ya Malawi inayoongozwa na Mwanamke Joyce Banda imeufyata na kuondoa ndege zote zilizokuwa zinafanya utafiti wa mafuta kwenye Ziwa Nyasa!

Sina hakika kama kweli iko vile. Hata kama Mwanamke Joyce Banda hajafanya hivo,inabidi awaite Mawaziiri wake na hasa yule wa Ulinzi amwambie kuwa swala la kuondoa hizo ndege halina mjadala. Kucheza na mpaka wa Tanzania ni kujitakia matatizo makubwa kwa nchi yao ya Malawi!

Pengine tu napenda nimkumbushe Mama Joyce Banda na Waziri wake wa Ulinzi kuwa Tanzania tulipigana vita mwaka 1978/9 na nchi ya Uganda ikiongozwa na Nduli Iddi Amin baada ya kuvamia mipaka yetu. Yaliyotokea ni history. Kama Mama Joyce Banda anataka yamkute yaliyomkuta Idd Amin Dadaa basi Malawi waendelee na kucheza na mpaka wetu ndani ya Ziwa Nyasa. Tutapiga mpaka Ikulu baada ya kusambaratisha Jeshi lake.

Haya ndiyo matatizo ya kuongozwa na mijike inayofikiri kwa kutumia k****! Inasikitisha sana mwanamke anapotaka kuleta sijui maswala ya Beijing ya gender issues,gender equality na upuuzi mwingine kama huo. Mwanamke always hataweza kumpita au kuwa sawa na Mwanamme jamani. Ni maumbile ambayo The God Almighty ameweka, ni kanuni za Mungu ambazo huwezi kuzivunja hata iweje!

Kwa hiyo Mama Joyce Banda asitake kujipima nguvu na Wanaume ataishia pabaya na mwisho wake kama mwanamke itakuwa ni ku***** tu,basi!

Japokuwa unahaki ya kutetea nchi yetu ila sijapenda maneno yako ya kumdhalilisha huyo mama'unapomdhalilisha kwa matusi kama hayo mimi binafsi nahisi umewadhalilisha mama zetu wote'sitaki kuamini kuwa wanawake pia sio viongozi wazuri''naamini mama zetu ndio wametulea na hizi tabia tulizo nazo nyingi zinatoka kwao kwa sababu muda mwingi tunakuwa na kina mama sio baba'waombe radhi kina mama
 
Ni vigumu kuamini habari ambayo chanzo hakijaoneshwa wazi wazi, hata gazeti umeshindwa ku scan ili tujadili kitu halisi?

Lakini jf hiko juu.
 
Impact ya JF kwa TANZANIA na WATANZANIA sasa ni kubwa sana. Mwaka 2015 lazima tumpate Rais anayekubalika na wengi humu JF.
 
Kama ni hivyo ww IQ yako ndio ndogo
Sorry, nimekosa kabisa neno muafaka cuz yote yaliyokuwa yananijia akilini machoni pa watu yangesomeka kama ni matusi. Naomba unisaidie neno muafaka.
 
JF ina active members zaidi ya elfu 50. Kudharau yanayoandikwa JF ni sawa na kudharau maoni ya jimbo la uchaguzi.
Hahahaha...Kamanda umenifanya nicheke hapa kwa ofisi mpaka wamegundua nilikuwa napitia JF wakati tulipigwa stop....Nway, me naomba kuwa Mbunge wa jimbo hili..."Utani kidogo"
 
Acha dharau kwa wanawake wewe
au mama yako sio mmoja wao?

[/COLOR]

Muhinda,

Read between the lines my friend. Nilichosema mimi siyo dharau kwa kina mama/wanawake baali nimesema kile Mungu amesema kwenye vitabu vyake vitakatifu ikiwemo Biblia. Napenda kukupa nukuu kutoka kwenye Biblia inayosema: Soma hiyo mistari miekundu. Kwa hiyo nilichosema siyo dharau baali ni maneno ya Mungu mwenyewe. Sasa kama wewe unaona ni dharau basi kamwuliza Mungu na muumba wako kwanini anawadharau au kuwabagua wanawake!!!

Aya ya 12 kwa kiswahili inasema,''SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUFUNDISHA AU KUMTAWALA MWANAMME,BAALI AWE KATIKA UTULIVU'' na Aya 13 inaendelea,'' NA ADAMU HAKUDANGANYWA BAALI MWANAMKE ALIDANGANYWA AKAINGIA KWENYE MAKOSA...."

Huu ni ukweli ambao wanawake lazima waukubali kwa vovote vile maana hakuna jinsi. Kuna jamaa mmoja mwanamme aliwahi kuandika,nanukuu.''All women are Foolish except my mommy and my sister although they are foolish too!"

Nitaendelea kuwaheshimu wanawake akiwemo mama yangu provided watakaa kwenye nafasi zao kama wamama. Lakini mwanamke anapoanza kuleta Ubeijing,sijui gender issue na gender equality hapo atakuwa ananichokoza.Kama mama atataka kuwa juu ya Baba nitahakikisha hiyo kitu inamalizwa mara moja. Remember mwanamke hatoweza kuwa juu au sawa na mwanamme hata siku moja. Hilo ni Neno la Mungu.

1 TIMOTHY 2:11-15

[11] Let the woman learn in silence with all subjection.
[12] But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.[13] For Adam was first formed, then Eve.
[14] And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression.
[15] Notwithstanding she shall be saved in childbearing, if they continue in faith and charity and holiness with sobriety.
 
Propaganda tuu wameanza gwaya sasa tukianza rusha makombola si wanaweza kimbilia south africa wote!
Ukimya wa Tz ndo unawafanya majirani zetu watuone mafala sometimes as wengi huquote Tz ilikuwa enzi za mwalimu
Its time hadhi ya Tz iwe maintained at any cost
 
Hoja ya mwanamke haina nafasi hapa. Tujadili mada ya Malawi Vs Tanzania. La msingi Malawi wanatakiwa kufahamu nguvu ya media hasa social media. Tumewapiga vita ya maneno, wamekubali yaishwe. Tayari wameondoa ndege zao.
 
Amakoye2009
soma Biblia kwa ujumla wake na uielewe, sio unachagua vifungu vichache vinavyokufurahisha wewe na kuvitumia ujuavyo. its a shame kwenye hii karne bado kuna watu wenye fikra kama zako.
Kwahiyo kwa mtazamo wako wanawake hawatakiwi kuwa viongozi?????
you should be ashamed of yourself and i feel sorry for your mother and all women close to you.

Muhinda,

Read between the lines my friend. Nilichosema mimi siyo dharau kwa kina mama/wanawake baali nimesema kile Mungu amesema kwenye vitabu vyake vitakatifu ikiwemo Biblia. Napenda kukupa nukuu kutoka kwenye Biblia inayosema: Soma hiyo mistari miekundu. Kwa hiyo nilichosema siyo dharau baali ni maneno ya Mungu mwenyewe. Sasa kama wewe unaona ni dharau basi kamwuliza Mungu na muumba wako kwanini anawadharau au kuwabagua wanawake!!!

Aya ya 12 kwa kiswahili inasema,''SIMPI RUHUSA YA MWANAMKE KUFUNDISHA AU KUMTAWALA MWANAMME,BAALI AWE KATIKA UTULIVU'' na Aya 13 inaendelea,'' NA ADAMU HAKUDANGANYWA BAALI MWANAMKE ALIDANGANYWA AKAINGIA KWENYE MAKOSA...."

Huu ni ukweli ambao wanawake lazima waukubali kwa vovote vile maana hakuna jinsi. Kuna jamaa mmoja mwanamme aliwahi kuandika,nanukuu.''All women are Foolish except my mommy and my sister although they are foolish too!"

Nitaendelea kuwaheshimu wanawake akiwemo mama yangu provided watakaa kwenye nafasi zao kama wamama. Lakini mwanamke anapoanza kuleta Ubeijing,sijui gender issue na gender equality hapo atakuwa ananichokoza.Kama mama atataka kuwa juu ya Baba nitahakikisha hiyo kitu inamalizwa mara moja. Remember mwanamke hatoweza kuwa juu au sawa na mwanamme hata siku moja. Hilo ni Neno la Mungu.

1 TIMOTHY 2:11-15

[11] Let the woman learn in silence with all subjection.
[12] But I suffer not a woman to teach, nor to usurp authority over the man, but to be in silence.[13] For Adam was first formed, then Eve.
[14] And Adam was not deceived, but the woman being deceived was in the transgression.
[15] Notwithstanding she shall be saved in childbearing, if they continue in faith and charity and holiness with sobriety.
 
Sorry, nimekosa kabisa neno muafaka cuz yote yaliyokuwa yananijia akilini machoni pa watu yangesomeka kama ni matusi. Naomba unisaidie neno muafaka.

Wewe Rejao ni CCM hadi hata kuongea kwikwikwiwkw
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom