Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 375,512
- 870,039
Hawezi kulifungia kwakuwa propaganda zake zitaenezwa vema kupitia hilo gazeti,hivi gazeti hilo bado lipo? halijafa tu? waandishi wa gazeti la majira ni NJAA KALI...wako tayari kuandika upuuzi wowote ili kuvutia wasomaji. hili gazeti ni moja ya VIPEPERUSHI ambavyo vinatakiwa kufungiwa na Nape Nnauye kama kweli ana nia ya kujenga taaluma ya habari hapa nchini.