Gazeti la Majira litutake radhi Wakurya

Gazeti la Majira litutake radhi Wakurya

Hao ndio waandishi wasomi kabisa wa digree.Yani anajumuisha kabila zima la wakurya kwenye wizi?si mlikua mnabeza elimu ya kubenea! Hao ndio wasomi wetu sasa.Acheni kulialia hapa jukwaani.Rudisheni gari ya watu nyie wakurya.
Ni vyema Wakurya wakarudisha gari la watu kulalamika hakuto saidia lolote....
 
Kuna siku ataandika "wakwere wote wana mabusha, wanatakiwa wakatibiwe John' Hompkins Hospital'.
 
Back
Top Bottom